Very pathetic bora uoe ambae ashajisomesha ukajua mojaYani degree holder unataka kuoa mtu wa la saba,na tena bado anakudrive craizy?pathetic

Saka mwingine kiongozi, wapo wengi mno. Mshirikishe Mungu, hii game ya kutafuta mwenza ni ngumu sanaaaa...I can feel you man!!mkuu anaishi kwa pastor, so, mama mchungaji anajua pia, na huyo pastor kashawahi kuwasaidia wengi kuwasomesha
na najua she is very decent, i trust her, ameokoka, akili inasizi sometimes... but i can let her go..
Naweza mana mapenzi popote japo mwanamke ukiwa umemzidi elimu mume inabd ufanye bidii sana aone unajishusha zaid kwake,kitu ambacho km mwanaume kakuzidi elimu sio cha lazma sana mana by default heshima kwake ipoounataka kusema huwezi kumpenda ambae hajasoma?
Usisahau wadau washasema sana mchumba hasomeshwihahahaha mkuu mkuu asante sana
Dah nakupendaaaaaaagaaaaaAchana naye huyo buana... halafu Si unioe mimi tu mkuu au watoto wa kagame hatufai kuwa wife material?
Pastor anahusika. Alafu unasema amehokoka. Kumbe ww bado hujui mambo ya dunia. Mapastor ndiyo wanaopiga mizigo mizuri coz wanahela. Utaachiwa manyoya