Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

Ndugu yangu wewe hujielewi na unatakiwa kupimwa akili
 
Japo sitetei mikakati mibovu ya CHADEMA ya hivi karibuni ila wewe ni MPUMBAVU na unadhalilisha jina Pascal!
 
Nipe jibu la maana ya uhuru. na unipe evidance mahari gani fujo imekuwa suluhisho la matatizo popote duniani. CHADEMA mnatamani Tanzania iwe kama Siria. Fujo haija3wahi kuwa suluhu.

Mimi nikushauri tu kuwa usipende kitu kupitiliza na usikichukie kitu kupitiliza sababu utashindwa kuamua kwa Usawa...

Pili ,unapo sema Chadema wamefanya Fujo sio sahihi na sababu Kuu ni hii..Fujo ni ni Matokeo ya kuvunjwa kwa utaratibu flani.Raisi alipo piga marufuku Mikutano ya Siasa pamoja na Maandamano tayari alisha vunja utaratibu sababu mambo hayo yana tambulika na Katiba yetu ktk Uhuru wa kujieleza kwa kutoaMawazo/Maoni/Matamanio.Chadema wali nyimwa Hati za Viapo kutoka kwa Tume (hiyo ni Fujo) ..

Kumbuka pia kuwa Haki haiombwi ,ila hutolewa....

Wewe endelea kuufurahia Ushindi wa Damu ,Siku utakapo kuja kujifunza tayari utakuwa umesha poteza .
 
CHADEMA AU UPINZANI
 
Naandika matusi yakukutukana nafuta naandika tena nafuta,,hivi najiuliza kama mkurugenzi angetoa mapema viapo?,haya yote yangetokea?,mtoa mada jitafakari halafu acha mambo ya nimefuta tena
 

Kwa hiyo CCM ndo wana hati miliki ya kutawala Tanzania dats whay Trump anatukana watu weusi unajua Tanzania watu ambao hatuna vyama tuko wengi kuzidi nyie wenye vyama jitafakari sana
 
Nakubaliana na wewe mkuu, hichi chama cha wahuni kinachoongozwa na muhuni "Mbowe" kifutwe tena haraka sana. Mbowe ni "mwuuaji" aliyejificha chini ya mwavuli wa chama cha siasa na demokrasia. Tangu waliposajiliwa kama chama cha kisiasa, CHADEMA, chini ya muhuni Mbowe wamesababisha mauaji ya watu wengi sana wasiokuwa na hatia.

Kwanza wamekuwa wakiuana wao kwa wao ndani ya chama (rejea kifo cha Wangwe) na pili wamekuwa wakisababisha mauaji ya watu wasiokuwa na hatia ili kutafuta sympathy kutoka jamii ya kimataifa.

Msajili mkuu wa vyama vya siasa anapaswa kuchukua hatua haraka iwezekanavyo na kuifutilia mbali CHADEMA.
 
We .......kumbe!
We km nani sasa?

Endelea kujitoa akili,siku wakifa wanaowahusu zitarudi tu
 
Wataelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…