Mimi Napenda mno kusoma

na kuandika je ?
 
Asante sana kwa kutambua mchango wa fema magazine(zamani femina hip magazine)
-nimekuwa balozi wa femina hzo na nakumbuka mwaka 2007 feb, tulifanya mkutano wa kwanza wa femina hip youth conference pale silversand hotel dsm, mgeni rasm alikuwa first lady salma kikwete wakiwa wameambatana na magreth sita i think alikuwa waziri wa elimu kama sijakosea. Nilifanya presentation hadi amabilis batamula cornel, na minou fuglesang, gloria mkoloma, wakawa wanaenjoy na kujilamba
Umenikumbusha mbali sana, kupitia fema tuliandaa kitabu chenye shuhuda za watu mbalimbali walio negative kiitwacho "YALIYOPITA SI NDWELE" tulishirikiana na mwanzo millinga.

- hongera sana na biblia umesoma sana au kdogo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…