Mimi nampiga sound je?

Mimi nampiga sound je?

Mamaaaaaaaaa...aibuuuuuu...mwanaume unataka kuhongwa? unapenda kuhongwa? mungu wangu eeeeeeehhhhh....kiruuuuu kiru kiru....dah
 
Tulia mkuu piga msuli zamu yako ya kuzikamata ikifika utazimata mpk utazichoka mwenyewe.
Tambua kuwa akikutolea nje utakuwa na wakati mgumu sana ki-physchology,hatimaye hata chuo unaweza kudisco sasa..
 
Usishindane na msichana pedejee atamhonga noah,wanangu wa old moshi someni mtatoboa-By Roma
 
Maisha angalia yako usiangalie ya mwenzako.

Kuwa makini nae sana
 
Ovyoo unanyota ya samaki unateleza mtokee uone km utamuona
 
Eti demu rafiki yangu kaishia form four kaja chuo kunisalimia ana usafiri wake na ana miliki maduka 3 ya nguo hapa Dar.

Hana mchumba na anasema hawataki kabisa ila ana subiri mda ukifika apate mmoja tu wa kumzalia mtoto juzi kati alivyo kuja chuo kuona maisha nayo ishi akanipa laki mbili na nusu na kuniahidi atakuja kunichukua next weekend nikapaone anapoishi ingawa kapanga.

Inaniuma sana kuona mimi bado naendelea kusoma halafu demu kanipiga gape balaa.

Nimesoma nae primary lakini hadi sasahizi ni rafiki angu sasa hapa nipo mbioni kumtokea awe wangu kabisa je hio imekaaje?

Demu ana pesa aisee nimeumia na kuona aibu leo ananipa hela ya matumizi daaa liwalo na liwe mimi namtokea awe wangu kabisa.

uroho tu
 
Eti demu rafiki
yangu kaishia form four kaja chuo kunisalimia ana usafiri wake na ana
miliki maduka 3 ya nguo hapa Dar.

Hana mchumba na anasema hawataki kabisa ila ana subiri mda ukifika apate
mmoja tu wa kumzalia mtoto juzi kati alivyo kuja chuo kuona maisha nayo
ishi akanipa laki mbili na nusu na kuniahidi atakuja kunichukua next
weekend nikapaone anapoishi ingawa kapanga.

Inaniuma sana kuona mimi bado naendelea kusoma halafu demu kanipiga gape
balaa.

Nimesoma nae primary lakini hadi sasahizi ni rafiki angu sasa hapa nipo
mbioni kumtokea awe wangu kabisa je hio imekaaje?

Demu ana pesa aisee nimeumia na kuona aibu leo ananipa hela ya matumizi
daaa liwalo na liwe mimi namtokea awe wangu kabisa.

kumbuka hutakua na maamuzi. wew kaolewe tu.
 
Hivi kwa akili yako ndogo unaamini amefanikiwa hivyo kwa struggle ya kawaida?? Huyo ni mwanamke na anajua kuutumia mwili wake kujikwamua kimaisha. Unahongwa hela aliyopewa na mwanamme mwenzio halafu unamsifia na kujiona unapendwa!! Nenda kichwa kichwa wanaomgaramia wanakusubiri wakuchomoe firigisi kama sio tezi dume!!
 
nenda polepole usikurupuke maadam kakuonga laaki mbili subiri aongeze yy mwenyewe atakuwa anakutoa out polepole dogo,usimtongoze mapema huyo ana mabwana zake sio kama hataki mabwana ila yupo nao kimasilahi kula pesa kwanza ngono badae

Kaka umetema point tupuuuuu ungekuwa mwanafunzi ningekupa 100% afu nakuandikia UMETISHAJE
 
Back
Top Bottom