Mimi nacheza GTA 5, wewe je?

Mkuu justine..
Hivi ushacheza game za action kama call of duty kwa kutumia pads.. naona kama shida kutumia pads kwa action games hivyo napenda zaid kutumia pc kucheza games
Mi napeda sana Pad.
Pa naona imierahisisha sana gaming
Sijui lakini everyone has there taste
 
Mkuu justine..
Hivi ushacheza game za action kama call of duty kwa kutumia pads.. naona kama shida kutumia pads kwa action games hivyo napenda zaid kutumia pc kucheza games[/QUOTEpeds mkuu ndiokila kitu. Call of duty naipenda sana, GTA Ndio mwenyewe. Je ushacheza assassin creed 1,II and III bonge la gemu
 
Mkuu justine..
Hivi ushacheza game za action kama call of duty kwa kutumia pads.. naona kama shida kutumia pads kwa action games hivyo napenda zaid kutumia pc kucheza games
peds mkuu ndiokila kitu. Call of duty naipenda sana, GTA Ndio mwenyewe. Je ushacheza assassin creed 1,II and III bonge la gemu
 
peds mkuu ndiokila kitu. Call of duty naipenda sana, GTA Ndio mwenyewe. Je ushacheza assassin creed 1,II and III bonge la gemu
Mimi GTA nimekua muhanga mission ya kurob Jewelry store Leister amegoma kabisa kunipigia sim. Natakiwa ni install 12.67GB update.
 
Kama una PC yenye uwezo nitafute nikupe bure kabisa. Mimi ninayo
Natamani sana kununua pc yenye uwezo mkubwa hasa magemu ya siku hizi yanahitaj pc yenye nguvu sana... nilitamani ninunue mtandaoni kama e-bay ila shida ni uzoefu wa manunuzi ya mtandaoni, sijawah kabisa kununua mtandaoni! Una ufahamu na ushawahi fanya hayo manunuzi ya mtandaoni?
 
Mi napeda sana Pad.
Pa naona imierahisisha sana gaming
Sijui lakini everyone has there taste
Pad kwa games za mpira na racing naona yafaa hata side scrolling games kama mark of the ninja na hizi assassin creed chronicle of china na india zinafaa ila kwa action kama call of duty au splintercell naona shida kutumia pads
 
Natamani sana kununua pc yenye uwezo mkubwa hasa magemu ya siku hizi yanahitaj pc yenye nguvu sana... nilitamani ninunue mtandaoni kama e-bay ila shida ni uzoefu wa manunuzi ya mtandaoni, sijawah kabisa kununua mtandaoni! Una ufahamu na ushawahi fanya hayo manunuzi ya mtandaoni?
Mimi nafanya sana ila kua honest sijawai nunua kitu cha zaidi ya $200
Ila we can try something out 0786371108
 
Back
Top Bottom