Mimi naamini wengi humu JF hawatizamiki mara mbili

Mimi naamini wengi humu JF hawatizamiki mara mbili

Habarichiiii

Mimi nasema toka rohoni .....Kwa wale wanaume wanaotuletea matangazo ya kusaka wachumba,lazima watakuwa ni madomo zege na wengine hawatizamiki mara mbili, (kama masoud sura mbaya) na hata sent hawana..
Mwanaume mbaya hata kama sura ni maporomoko ya ukrain lakini kama anahela hakosi mbembez,lakini 100% ya JF wanaume watafutaji ni majangaaaaa na ndo mana hata lugha zinazotumika za kishenzi sana,yani hata hawajui jinsi ya kushawishi wadada....Mtatanganza kila siku nawaambia
Haimaanishi hii imenitokea hapa,nimesema kutokana na mawazo yangu.
Na wale wanaotongoza tongoza hovyo nao ni the same issue,na ndo mana thread za walalamikaji kuhusu wanawake wapiga mizinga ni wengi humu.....

Mwanaume mzuri na anayejiamini hawezi akatafuta demu hata siku moja...anakuwa ametulia zake akicheki dunia inavyozunguka.....

Mnasema wanawake wako cheap nyie na hayo matangazo yenu mko expensive????



Inamaana unamaanisha masela kama hawa.?
 

Attachments

  • index.jpg
    index.jpg
    9.1 KB · Views: 153
  • imagest.jpg
    imagest.jpg
    11.3 KB · Views: 163
So tuliowahi kuweka mabandiko humu ya kutafuta wachumba tuna sura mbaya na hela hatuna!! Duuh umetutusi sn.
Heaven on Earth


Just like the old days
 
Last edited by a moderator:
mwanaume pesa sura tutavumiliana. mwanamke sura, tabia tutarekebishana.
 
umeridhika? kukuonyesha hapa sijaongea kinafiki,we unaweza ukanihudumia hapo?[/QUO
Hii picha inaonyesha wewe ni under 18 a.k.a minor, nani unataka aende jela miaka 30 !!!
 
Kumbe hujawahi ona? Mi mwenzio huwa nipo fasta mtu akijibandika tu hapa kajina anakotumia fesibuku
lazma nikamdeku basi tu huwa nanyamaza ila wengi ni majanga kwakweli Morg is right
kama kuna mtu kaweka juzi juzi tangazo mara 4 nikaenda kumcheki duuuuhhhh....
umeamka salama lakini?
Hahahaaaa..mkuu umenifurahisha sana, Ndio kamchezo kako eeeh. But ni vizuri kufanya evaluation tofaut na hapo utajiingiza matatizoni.
Ila hii mada iko pande zote, Wadada wengi( of-course sio wote) wa humu ndani ni hatariii...wengi wao wanahitaji pa kumalizia....na kujibinafsishia kabisa. Ila ni kawaida kwa vitu vya low quality pia vina low price.
 
So tuliowahi kuweka mabandiko humu ya kutafuta wachumba tuna sura mbaya na hela hatuna!! Duuh umetutusi sn.
Heaven on Earth


Just like the old days

Sitaki kuamini mume wangu uliwahi kufanya kitu kama hicho.Nilikuwa wapi wakati unamtafuta huyo mchumba?
 
Last edited by a moderator:
Ulivyokuwa na hiyo hasira
ni kama yamekukuta vile,
pole lakini.
 
Kumbe hujawahi ona? Mi mwenzio huwa nipo fasta mtu akijibandika tu hapa kajina anakotumia fesibuku
lazma nikamdeku basi tu huwa nanyamaza ila wengi ni majanga kwakweli Morg is right
kama kuna mtu kaweka juzi juzi tangazo mara 4 nikaenda kumcheki duuuuhhhh....
umeamka salama lakini?

hahahaa we nomaa lazima niibebee hako kamtindo
 
Back
Top Bottom