Love mingi my king
Love mingi my king
ngoja nialike ngoma ya kigodoro naona hapa kumekucha.
Love mingi my king
umeridhika? kukuonyesha hapa sijaongea kinafiki,we unaweza ukanihudumia hapo?
Habarichiiii
Mimi nasema toka rohoni .....Kwa wale wanaume wanaotuletea matangazo ya kusaka wachumba,lazima watakuwa ni madomo zege na wengine hawatizamiki mara mbili, (kama masoud sura mbaya) na hata sent hawana..
Mwanaume mbaya hata kama sura ni maporomoko ya ukrain lakini kama anahela hakosi mbembez,lakini 100% ya JF wanaume watafutaji ni majangaaaaa na ndo mana hata lugha zinazotumika za kishenzi sana,yani hata hawajui jinsi ya kushawishi wadada....Mtatanganza kila siku nawaambia
Haimaanishi hii imenitokea hapa,nimesema kutokana na mawazo yangu.
Na wale wanaotongoza tongoza hovyo nao ni the same issue,na ndo mana thread za walalamikaji kuhusu wanawake wapiga mizinga ni wengi humu.....
Mwanaume mzuri na anayejiamini hawezi akatafuta demu hata siku moja...anakuwa ametulia zake akicheki dunia inavyozunguka.....
Mnasema wanawake wako cheap nyie na hayo matangazo yenu mko expensive????
JONATHAN KAMWAVAH'S, SAYANSIKIMU@Ndakilawe@Muk hebu mtuthibittishie hizi habari alizoandika mwandishi
Habarichiiii
Mimi nasema toka rohoni .....Kwa wale wanaume wanaotuletea matangazo ya kusaka wachumba,lazima watakuwa ni madomo zege na wengine hawatizamiki mara mbili, (kama masoud sura mbaya) na hata sent hawana..
Mwanaume mbaya hata kama sura ni maporomoko ya ukrain lakini kama anahela hakosi mbembez,lakini 100% ya JF wanaume watafutaji ni majangaaaaa na ndo mana hata lugha zinazotumika za kishenzi sana,yani hata hawajui jinsi ya kushawishi wadada....Mtatanganza kila siku nawaambia
Haimaanishi hii imenitokea hapa,nimesema kutokana na mawazo yangu.
Na wale wanaotongoza tongoza hovyo nao ni the same issue,na ndo mana thread za walalamikaji kuhusu wanawake wapiga mizinga ni wengi humu.....
Mwanaume mzuri na anayejiamini hawezi akatafuta demu hata siku moja...anakuwa ametulia zake akicheki dunia inavyozunguka.....
Mnasema wanawake wako cheap nyie na hayo matangazo yenu mko expensive????
Kumbe hujawahi ona? Mi mwenzio huwa nipo fasta mtu akijibandika tu hapa kajina anakotumia fesibukuhuhuhuuuuu hahhahahaa eeeeh hatareeee... Evelyn Salt et mwenzangu ni kweli hapo?
umeridhika? kukuonyesha hapa sijaongea kinafiki,we unaweza ukanihudumia hapo?
Tatizo sio mizinga, tatizo ni lako hakuna hela na kama ipo basi inahesabiwa hadi sh 100 inayobaki
^^
Hongera Morg kwa kusema ukweli, lakini kubwa zaidi kwa kuumbwa pasipo dosari ukakamilika! Si wote wenye bahati hiyo, shukuru sana
^^