Mimi na ndofu basi!

ha ha ha we mmama Erickb52 kasema hamna shida, utaratibu ni ule ule yaani si kazi ni kwetu yaani power to us............shaka ondoa
Tena naomba mwambieni na C6 asitusumbue kupigapiga simu na Nicas Mtei wake...yan waache usumbufu kabisa watu tunakula raha zetu bhana maisha mafupi na yanawezekana bila ndofu
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha we mmama Erickb52 kasema hamna shida, utaratibu ni ule ule yaani si kazi ni kwetu yaani power to us............shaka ondoa

kama ni hvo sawa! ngoja nianze kunoa koo. . . afu kuna kifaa kipya beibe nasty must tumuongeze kwenye chama.
Judgement my shem tunaomba ruhusa yako kumchukua mkeo na kujumuika katika chama.
NOTE. Ni chama cha kusaidiana tu not otherwise!
 
Last edited by a moderator:
kama ni hvo sawa! ngoja nianze kunoa koo. . . afu kuna kifaa kipya beibe nasty must tumuongeze kwenye chama.
Judgement my shem tunaomba ruhusa yako kumchukua mkeo na kujumuika katika chama.
NOTE. Ni chama cha kusaidiana tu not otherwise!
Heheheeee mwambie karibu sana kwenye chama chetu maana kiko vizuri sana aisee lol ataenjoy sana tu
 
unaikataa ndofu na mambo yake yote?
na anasa zake zote?
unaikataa ndofu mwili mzima?
unaikataa ndofu mwezi mzima?
unaikataa ndofu kuanzia miguuni mpka magotini au kichwani mpka kifuani?
nijibu kwanza maswali yangu halafu niamue kama nikuunge mkono,mguu au kichwa!
 
teh teh teh! we unajua kirefu cha C ni nini? haya mwenye macho haambiwi tazama lolest!!!!!
Najua weweweweeeee
c- Chariminglady
6- Mtotosix (Alowekwa kwenye chupa hadi akabadili jina kuwa C6 )
 
Last edited by a moderator:
unaikataa ndofu na mambo yake yote?- Naikataaa
na anasa zake zote?- Nazikataa
unaikataa ndofu mwili mzima?- Naikataa
unaikataa ndofu mwezi mzima?- Naikataa milele sio mwezi mzima @snowhite
unaikataa ndofu kuanzia miguuni mpka magotini au kichwani mpka kifuani?- Naikataa hadi kwenye kifanyio
 

hahaahhaahahhaah
hata ikiwekwa kwenye mug af ikawa inatoa jasho hivi kwa nje!
 
no safari hii tumtoe nje ya mji, kuleee Charcol ribs. pale ryans bay kiwingu shost!!!!
Mi kokote tena ninachotaka ni raha tu si kingine....maisha ndo hayahaya unataka nini kingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…