Mimi na ndofu basi!

Mute mi nimeamua kuachana nayo coz nimekuwa nikipumzika mara nyingi ila nashindwa najikuta nikikaa na Arushaone na Filipo naanza tena kuzidunga ila safari hii sibadili msimamo kabisaaaa

bisha ila thread itakayofuata itakuwa na heading "naomba ushauri niambieni nitaachaje ndovu?"
 
Jamani nawahakikishieni nipo hapa Arusha Star na@Erickb52, yeye anaendelea na hiyo kinywaji anayoibeza, wakati mimi nina Konyagi ndogo!
Namshangaa mwenzangu kalewa mapema sana leo!
 
aisee arifu, unanikabidhi Ciello hivihivi eeh, j pili iko shwari huyu jamaa kaweka picha ya hiyo kitu kanihamasisha,napiga kama nne hivi za kunisaidia kupambana na shetani then naenda zangu kujilaza
Hahahaaa kweli shetani kakutawala au ndo kusema dawa ya moto ni moto? Yan Baba V unywe ndovu then umshinde shetani?
Naomba nitonye aje ashushe maombi kwa ajili yako
 
Last edited by a moderator:
my switilo, yan mepata shock hapa. ina maana next tym akija mza level 8 haitahusika???? nasikia harufu ya kuhamia pizzeria kitu ambacho hakiezekani. Erickb52 please hebu badili kauli yako ama uje mza tena ukishatoka ndo uje hapa na huo uzi!!!!!!

Kweli vizuri havidumu shosti, huyu Erickb52 akiacha kweli mjini tutasurvive vipi, maana akishakuwa ndofu nyingi uwaga hahesabu ye anatoa tu, kweli hapa pizzeria inahusu tena sana
 
Last edited by a moderator:
Hili ni pigo kubwa sana we huelewi tu, we jiulize siku ile pale level 8 mambo yalikuwaje, unadhani bila ndofu ungeeza kuclear bili kubwa vile?...................dah! yaani we acha tu
Hahahahaaaaa hili sasa jungu....taratibu nyingine zitaendelea kama kawaida bila kujali nakunywa nini Elizabeth Dominic
Nimeacha kwa manufaa yangu tu na haitabadili mazoea yangu na ratiba zetu so tulia na tukiwa level 8 mambo yatakuwa muswanu zaidi ya mwanzo tena jiandaeni natua jijini anytime
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kweli vizuri havidumu shosti, huyu Erickb52 akiacha kweli mjini tutasurvive vipi, maana akishakuwa ndofu nyingi uwaga hahesabu ye anatoa tu, kweli hapa pizzeria inahusu tena sana
Teh Teh labda muwe mnaniwekea mchanganyo kwenye fanta Elizabeth Dominic ila charminglady ananijua nilivyoimara na misimamo yangu tangu zamani so nikisema sidanganyi ila raha zitaendelea kuliwa kama kawa....ndani ya jiji
 
Last edited by a moderator:
ama kweli duniA haiishi visa, wiki kadhaa kabla ya kufumaniwa mwanza, kambeba mama watoto wangu na Elizabeth Dominic kawapeleka Level8, leo hadithi ingine, mi nahisi haya maamuzi ya Erickb52 ni influence ya kitu ambacho hatujakijua
 
Last edited by a moderator:
Kweli vizuri havidumu shosti, huyu Erickb52 akiacha kweli mjini tutasurvive vipi, maana akishakuwa ndofu nyingi uwaga hahesabu ye anatoa tu, kweli hapa pizzeria inahusu tena sana

mh,yan napata shock aisee. itabidi Erickb52 tumfute katika chama. hebu tuvute subira mpk dec mkongo akija bt ntakuwa meimiss ile makitu mwe!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Hayo ndio mambo sasa, sio unaturusha roho tuuu.............maandalizi mbona yashaanza, usiwe na hofu shaka ondoa si tupo kwa ajili ya kukusaidia kutumia hiyo pesa eeh Erickb52 papaa mwenyewe, pesa ipo mingi, prezidaa wa ukwee hapana muchezo kabisa wewe ni mutu mukubwa eeh so maandalizi ipo ya kutosha.......................wapi mamaa charminglady
 
Last edited by a moderator:
bisha ila thread itakayofuata itakuwa na heading "naomba ushauri niambieni nitaachaje ndovu?"
Hahahahaaaa ila kuna wadau wataniunguzia wakiniona nagonga lol hata kama nikigonga basi ntagongea home tena ndani kabisa Mute ila kwa sasa niko serious nataka kuachana nazo coz nakuwa rough sana kwenye mambo yangu lol yan nakuwa faster kuliko kawaida dah
 
Last edited by a moderator:
mh,yan napata shock aisee. itabidi Erickb52 tumfute katika chama. hebu tuvute subira mpk dec mkongo akija bt ntakuwa meimiss ile makitu mwe!!!!!!

ha ha ha we mmama Erickb52 kasema hamna shida, utaratibu ni ule ule yaani si kazi ni kwetu yaani power to us............shaka ondoa
 
Last edited by a moderator:
Jamani nawahakikishieni nipo hapa Arusha Star na@Erickb52, yeye anaendelea na hiyo kinywaji anayoibeza, wakati mimi nina Konyagi ndogo!
Namshangaa mwenzangu kalewa mapema sana leo!
Najua kwa hapo nilipobold ntasaidiwa na Blaki Womani na Preta kuthibitisha kuwa umedanganya jamii hata Mzee wa Rula anajua kinywaji chako so nakanusha na watakuja kukanusha kuwa kauli yako si kweli
 
Last edited by a moderator:
ama kweli duniA haiishi visa, wiki kadhaa kabla ya kufumaniwa mwanza, kambeba mama watoto wangu na Elizabeth Dominic kawapeleka Level8, leo hadithi ingine, mi nahisi haya maamuzi ya Erickb52 ni influence ya kitu ambacho hatujakijua
Tena usinisingizie C6 hao wake zako ndio walinibeba wakanipeleka nisikokujua wakanifanyisha mautamu bila ridhaa yangu hadi nkakosa ngufu sa kuamka nakashindwa kusafiri kesho yake....ila nilienjoy aisee lol
 
Last edited by a moderator:

nipo dia,kesho ntakutafta tukae kama kamati kwaajili ya maandalizi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaa unanipa misifa utadhani namiliki Gold Crest lol we noma umekuwa kama kaka Judgement lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…