Mimi na ndofu basi!

ha ha haaaaaaaa, you wish, lol!
Heheheeeee haya bhana...hebu ngoja nilale wewe naona mmiliki wako hayupo ndo maana huna usingizi.....lol
Usiku mwema eeeeeh
Ukilala lala salama.....By Diamond
 
Heheheeeee haya bhana...hebu ngoja nilale wewe naona mmiliki wako hayupo ndo maana huna usingizi.....lol
Usiku mwema eeeeeh
Ukilala lala salama.....By Diamond
he heeeee........... mmiliki nimeshamlaza, najivinjari hapa then nam-join. haya ulale salama pia
 
He! nani amewambia kuna kulala? Nasema ruksa hiyo katoa nani? Hapa hakuna kulala hata kama hujandofu Erickb52 na @FP
 
Last edited by a moderator:
wewe Arushaone kama huna kitanda kivyako...... wenzio tunavyo

Ninacho, na blanket chapa mtu yuko hapa @Blaki Woman, na dadavuzi mpakato naye ndiye namtumia kwani vipi?
 
Last edited by a moderator:
si kaniambia mmeshakubaliana? halafu hapa ninaloliona ni kuwa unampenda ila unahofia usalama wako, jimwage tu my dear, siyo vizuri kudhulumu nafsi yako. kanihakikishia ulizi wako, so, kwa raha zako......

Amekubaliana nani?
Sijataka tu kumchana live mbele ya kadamnasi!
 
Hii thread bado inaendelea mpaka ndovu ziishe au mlevi azime mazima
 
Hii thread bado inaendelea mpaka ndovu ziishe au mlevi azime mazima

Uzuri walevi ni wengi.....hapa ni mimi na FP ndio hatutumii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…