Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
- Thread starter
-
- #81
Kiukweli mmependeza sana, na haswa baba unapikuwa mweusi, mama mweupe, anapokuzalia katoto ka kiume kalichofanana na mama na sio baba!. Hata mimi in reality hivi ndivyo ilivyo familia yangu, watoto wawili wa kwanza, wamefanana na baba na mama, baada ya wife kuhamia US, nimekuwa nikija ila this time vitoto vyote ni vyeupe tuu, vinafanana na mama tuu hata cha mwisho cha kiume!. Ila wote ni watoto wetu!, na sisi watu wa kanda ya Ziwa, wale wapenda weupe!, hatuna kabisa utamaduni wa DNA!.
njoo ujioneee
mashaallah kitu kimetulia!!unafunua mwenyewe sii wale kila kitu nje nje hata hamu ya kuona tena hakuna
Just curious (No offence),
Hivi mwisho wa Hijabu ni Getini, Sebuleni, Chumbani au Kitandani na Mwandani wako?
Nataka nikujibu ila hujaeleweka, fafanua kidogo
Mwanamke wa kiislamu hutakiwa kujisitiri kwa hijabu, ni wapi anaruhusiwa kuivua?