Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,152
- 18,097
Ukitaka kujua Jiji la dar es salaam, nyuzi kama hizi binafsi zinanikosha... Mimi wa kuja ndo unajua mambo.
Hongera
Hongera
Bonta nilijua tu nitakukumbusha enzi za Best Bite mafafa yote full mass nondo kati hapo.Carl Lewis alikuwa mwamba alitingisha sana enzi zake
Aise umenikumbusha mbali sana
Ova
Kulikuwa na sehemu ile opp na Serena sahv ilikuwa inaitwa Bush trekker kama sijakosea jina ilikuwa meeting point nzr sana piaBonta nilijua tu nitakukumbusha enzi za Best Bite mafafa yote full mass nondo kati hapo.
Zile sehemu ilikuwa ukipita nje tu unaipata ile harufu unataka kuingia mwenyewe.Kulikuwa na sehemu ile opp na Serena sahv ilikuwa inaitwa Bush trekker kama sijakosea jina ilikuwa meeting point nzr sana pia
Baadaye posta ikaja food world
Ova
Mzee Abdul yupo mpaka leo ni mhudumu. Huyu Mzee anayo kumbukumbu mpaka ya Malcom X alipotembelea Tanzania mwaka 1965 siku chache kabla ya kifo chake huo USAOh nami umenikumbusha,mimi sheikh said nilikujulia hapo salamander kwa akina hashim sagaf,nilikuwa nakuja hapo na kaka yangu wakati huo nikisoma nje ya nchi,nikawa a bit rafiki kwako kutokana na uwezo wako wako wa kuchambua mambo,pia nikamfahamu jamaa mmoja akiitwa tamim,na kijana mmoja kama msomali hivi akiitwa mohamed akiaandikia magazeti.Kaka yangu akanipeleka hapo chef pride chagga street,aisee kulikuwa na kila aina ya chakula na ndipo nikakutana na watu wengi sana maarufu,na kabla sijasahau pale salamander nilikutana na jakaya na tukawa marafiki sana nadhani wakati huo alikuwa waziri wa madini.
Hapo chef pride nje kulikuwa na shoeshiner wengi na vijana wa kutafuta parking za magari.
Baadae nikamfahamu huyo mmiliki wa chef pride.
Sasa hapo pembeni ya chef pride kulikuwa na tea room mmoja maarufu sana,ambayo ilikuwa maarufu kwa aina fulani ya chai kwenye tu vikombe tudogo na kababu za kunde,aiseeee ile chai haina mfano,watu walikuwa wanagombania nafasi na mara kwa mara nilikuwa nakuta foleni nje.Pia walikuwa na mzee mmoja weita mmoja ambae alikuwa ana kichwa cha kompyuta,bili za watu alikuwa anakariri tu na akiulizwa anatoa hesabu kamili.Miaka ya zamani klabu ya yanga ilikuwa na seneti yake ikiongozwa na mohamed virani,nao walikuwa wakija wote hapo yea room kunywa chai.
Nami hapo nilipata dada mmoja wa kihindi nikazaa nae.Basi sheikh said asante sana kwa uzi wako
Oh Mungu azidi kumtunzaMzee Ayub yupo mpaka leo ni mhudumu. Huyu Mzee anayo kumbukumbu mpaka ya Malcom X alipotembelea Tanzania mwaka 1965 siku chache kabla ya kifo chake huo USA
bushtrekker kila jumapili palikuwa na live banda nzuri sanaKulikuwa na sehemu ile opp na Serena sahv ilikuwa inaitwa Bush trekker kama sijakosea jina ilikuwa meeting point nzr sana pia
Baadaye posta ikaja food world
Ova
KHITMA YA JUMA MWAPACHU
Fimbo...Oh nami umenikumbusha,mimi sheikh said nilikujulia hapo salamander kwa akina hashim sagaf,nilikuwa nakuja hapo na kaka yangu wakati huo nikisoma nje ya nchi,nikawa a bit rafiki kwako kutokana na uwezo wako wako wa kuchambua mambo,pia nikamfahamu jamaa mmoja akiitwa tamim,na kijana mmoja kama msomali hivi akiitwa mohamed akiaandikia magazeti.Kaka yangu akanipeleka hapo chef pride chagga street,aisee kulikuwa na kila aina ya chakula na ndipo nikakutana na watu wengi sana maarufu,na kabla sijasahau pale salamander nilikutana na jakaya na tukawa marafiki sana nadhani wakati huo alikuwa waziri wa madini.