Mimi na Mchepuko wangu tunawatakia Kheri ya Mwaka Mpya

Huenda usemi wako ukawa kweli sasa nipe maujanja zaidi
Maujanja ni haya...
Chelewa kurudi nyumbani,
Simu yako usiweke pass word,
wife akipiga cm usiopokee,
naukiamua kupokea we mtukane tu.
Naamin na mwaka huu utapita salama bila kukamatwa.
 
duuh
2017/2=?
2017/3=?
labda
2017/1=2017
wa awali mpe haki yake mkuu.
 
Back
Top Bottom