Mimi na Ka Passo hadi Kigali


Kuwa makini na ordinary services kwa safari zako hizo especially kama km unazotembea ni nyingi. Mf.km 500+ maana engine ni ndogo na gari inapotembea na kufika ulipo dhamiria sio basi tena kwamba gari iko ok always. There's tare and wear.Hongera kwa kuwa mchumi mzee.
 

hahahahahahah pole sana mkuu kauli yako ni ya mkosaji!!
 

😂😂😂😂😂this just made my night...
 
Abraham Maslow hyrach of need.
1.physiological need. 2.security 3.social acceptance 4. Self actualization 5.self esteem. .kama nimekosea sehem there's an open room to correct me.
 
Mimi nilijua umeanzia Dar kumbe ni kahama tu.. Sasa hapo si ni pua na mdomo tuu..
 
Acha ujinga wewe! Kuendesha baby walk ni ujinga tu, kitu v6, v8,v12 ndio uanaume. Na nyie ndio mnakua hamna nidham na magari, tumia gari cc2500 au zaid uone kma hutaiheshimu, eti gari cc640 mfyuuuuu
Hivi hili pozi la kusonya kikekike na nyie midume mmelitoa wapi! unakuta dume kaandika mwishoni anaweka mfyuuuu! ndo nyie wasomi wa vyuo toka Iringa!

Nyam.bafu
 
Hey.. Tunajua uko Kigali baaaaaas!!! Peleka huko ki Passo chako!! Wakiitwa wenye magari na wewe utasimama? Yaani kwa mtu kama Ronaldo hicho ni kama toilet paper tu, unachambia maramoja unakiflash huko!!
I wish ningeona hata unafananaje kwa mchango huu!!kweli Tunadharau binadamu
 
Mmmh naona kwa awamu hii vyuma vimekaza passo,ist,vitz, ndio gari za kutumia best fuel consumption cars hayo majini ya mafuta mengi Ni ya serikali mengi binafsi yamepaki tu garage ukiuliza shida yake Ni taa tu ya gari Bei yake 1M kwa awamu hii tuacheni Na gari zetu ndogo[emoji869][emoji869]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…