gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Kama ni utumbo kwa nini umesoma na kuchangia? Ungeangalia heading tu na kuachana nayo mpuuzi wewe.
Acha kujivunia pikipiki
Weka picha basi ht moja ya hao malaika wa Kigali. Ugonjwa wangu huo jamani
Wewe ni kula kulala umeonesha dalili zote, Ronaldo hata Rais wako hamfikii kwa lolote kimaisha, mwenzako kanunuwa Passo kwa pesa yake je wewe kula kulala umeshawahi kumiliki hata Toyo tu? Nyambafu kabisa.Hey.. Tunajua uko Kigali baaaaaas!!! Peleka huko ki Passo chako!! Wakiitwa wenye magari na wewe utasimama? Yaani kwa mtu kama Ronaldo hicho ni kama toilet paper tu, unachambia maramoja unakiflash huko!!
Mi nataka uniambie Kahama hadi Kigari ni Km ngapi? Na we ulitumia muda gani
nipo na shemeji yako mkuu.
Hongera mkuu kwa kumiliki gari
Jihesabu upo kundi la wajinga, angalia uchumi wako na fuel consuption yake ndio utapata jibu, Watanzania wengi wanasumbuliwa na lack of exposure, Ulaya wazungu hivyo vigari ndio wanavitumia zaidi hata kama siyo Passo lakini vigari same na Passo kwa ajili ya uchumi. endeleeni kuiga maisha kwa kununuwa jini linalokamuwa mafuta utadhani AirbusDuuu mwenyewe nlitaka kununua hako kagar ila watu wamenikatisha tamaa wanasema gar kama kiatu cha mtoto haahahaaa
Kama ni utumbo kwa nini umesoma na kuchangia? Ungeangalia heading tu na kuachana nayo mpuuzi wewe.
Ulitaka point gani? huwezi kuwa na akili wakati umezaliwa ktk taifa lisilo na mbele wala nyuma, bahati mbaya zaidi unatoka familia ya makada wa ccm.
Ulikuwa unafanya nini kahama Tanzania ikiwa ni taifa la watu wasio na mbele wala nyuma? Mnatamani kuwa na nchi babkubwa kama Tanzania halafu mnajifanya kuiponda eti ni taifa la watu wasio na mbele wala nyuma!
Ulikuwa unafanya nini kahama Tanzania ikiwa ni taifa la watu wasio na mbele wala nyuma? Mnatamani kuwa na nchi babkubwa kama Tanzania halafu mnajifanya kuiponda eti ni taifa la watu wasio na mbele wala nyuma!
Hey.. Tunajua uko Kigali baaaaaas!!! Peleka huko ki Passo chako!! Wakiitwa wenye magari na wewe utasimama? Yaani kwa mtu kama Ronaldo hicho ni kama toilet paper tu, unachambia maramoja unakiflash huko!!
niliposoma uzi wako nilihisi wewe ni mstaarabu kumbe hakuna lolote. hicho kipasso chako umekipata Tanzania, leo hii unaiita nchi isiyo na mbele wala nyuma?! kaa huko huko kwenu tuone kama hujakiuza hicho ki-passo chako. umenitibua na hicho kikauli chako mpaka basi...
JPM, mwulize JK ile operation ilicost kiasi gani. kuna uchafu ulibaki humu
ok, hapo kahama ulipokuwa unaishi, unavyo vibali vya kuishi hapa nchini, au wewe ni mtz? pili, nafikiri mnahitaji operation kimbunga phase II
Wewe ni kula kulala umeonesha dalili zote, Ronaldo hata Rais wako hamfikii kwa lolote kimaisha, mwenzako kanunuwa Passo kwa pesa yake je wewe kula kulala umeshawahi kumiliki hata Toyo tu? Nyambafu kabisa.
Bado unaendeleza utemi!haya endelea hivohivo ila angalia utaja pasuka siku moja ooooooohoooo!