“Mimi na Bushoke kilichobaki ni ndoa tu.”…Jini Kabula

Wakumuoa nani bushoke?asubiri sana yeye mwenyewe anapenda kulelewa na wanawake wenye pesa Zao , wewe mwenzangu na mm karubandika utaishia kusuguliwa tu, huyo bushoke kama huna pesa msahahu, maana kashalelewa sana na mijimama uko Yombo sema umalaya wake umemponza kaachwa, alipangishiwa hadi nyumba na gari alipewa yeye kujifanya Kidume akawa anafunua watu skirt ovyo ika mcost kabwagwa maisha yakamshinda kakimbilia south.
hivi south maisha rahisi eeh? maana kashindwa bongo kakimbilia south

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mademu walikuwa wanamzimikia kishenzi enzi zile jamaa alikuwa handsome vbaya, ingawa halikuwa hajui kuvaa, basi wanawake wenye pesa zao wakawa wanamtunza, halaf nasikia jamaa kwenye mambo yetu ni Noma, inasemekana ana mguu wa mtoto, basi bwana kama hujuavyo chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho, ujio wengi wa mashorobaro mjini ukampoteza hakaw hana soko tena, hence great depression occurred.
Eti great depression..anguko la kiuchumi na kiusanii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom