Mimi Mwenzenu mapenzi basi

Status
Not open for further replies.
Njoo kwangu baby girl
 
Yaan hawa viumbe wanachosha Kwa kweli
[emoji119] [emoji119] nimewanawa
ndo mana kila kukicha wanaleta thread humu wamekuta msg za mapenzi kwenue simu ya mwanamke..
if u take ur lover for granted..unamuona kama mpita njia..at the end lazima aanguke majaribuni
 
Kwa ujinga huo ulioandika huyo jamaa humfai...
 
asante ndugu..ntazingatia
 
Umemkubali msela kwa maneno yako...

Ukimfariji kwa matatizo yake anasema unampigia kelele... "hahahaha" msela ataendelea kuwa msela...

Alafu hao watu wanaokufuata fuata... Muuza duka, mkaa, bucha, genge, mpesa, wasugua kucha, makondakta na wageni... Hizo type zote hawana tofauti na msela...

Sipati picha utakuwa mwanamkr wa aina gani aiseee.. Pole sana... Upgrade yourself...



Cc: mahondaw
 
ok.
 
nyie si wachagua nazi umepata koroma teh teh [HASHTAG]#Team[/HASHTAG] viba100 nyuzi kama hizi ni furaha yetu
Umenifurahisha uliposema ''wakaka mkipendwa pendekeni basi...au mnatakaje'''
wachagua nazi hao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…