- Thread starter
- #21
Sawa kaka, niko duce campus ya udsmMkuu unaweza kutuambia uko chuo gani.
Labda tunaweza kukusaidia.
Sawa kaka, niko duce campus ya udsmMkuu unaweza kutuambia uko chuo gani.
Labda tunaweza kukusaidia.
Barua gani tena kakaSasa barua iwe fupi.
Mabosi hawana muda wa kusoma barua ndefu
Aise mkuu nakushauri iendelee na hiyo education kwanza update hiyo degree then ujiajiri maana Dunia ya Leo si ya kutegemea kuajiriwa japo ukiajiriwa ni vizuri.Sawa kaka, niko duce campus ya udsm
Upo chuo Gani mkuu@? NA kwann unataka nursing na Radiotherapy!?Niko mwaka 1, nilitaka, nursing au Radiotherapy. Mkuu
Sema shida tena ipo kwenye admission competition daa
Hapo nime kuelewa kakaUpo chuo Gani mkuu@? NA kwann unataka nursing na Radiotherapy!?
Nakushauri kama kweli una nia ya kusoma Nursing omba St john haraka mkuu
Shukran, mungu awe naweSikiliza moyo wako vile unasema, achana na maneno yakusikia unaweza ukawa mwalimu bora duniani vilevile unaweza kuwa daktari bora kama ukisikiliza moyo wako .. hakuna kibaya wala kizuri vyote viko sawa
Janja kwani hukuskia kuna Transfer za chuo ukaomba?Shukran, mungu awe nawe
Kafute tu km kifutio unachoMimi ni mwanachuo nae soma education, Nataka nifute usajili nikaaply mwaka huu upya tena,
Je inawezekana wakuubwa zangu
Watu wanacheza rafu tu refarii kipofuMaisha yamekuwa magumu mno ndio maana ufaulu umekuwa mkubwa na nafasi za kusoma zimekuwa nyingi
Kwa kuwa wameelewa kwa sasa sio kama zamani kupata mafanikio ya maisha kwa kutumia elimu kwa sasa ni changamoto..
Jamani pambaneni na ujasiria mali.....