Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,667
- 12,289
Wakubwa na wadogo heshima kwenu!
Msichana mwenye umri wa miaka 22 elimu ya kidato cha nne.
Anatafuta kazi yeyote halali ila ana uzoefu wa kuuza duka la mahitaji ya nyumbani.
Yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ila kwa sasa anapatikana Arusha mjini.Kama una nafasi ya kazi tafadhali wasiliana naye kupitia simu 0687211249