Mimi mgeni naombeni mnipokee

Mimi mgeni naombeni mnipokee

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,363
Reaction score
16,092
Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya. Mimi ni mgeni humu nimejiunga mwaka huu. Kuna vitu vingi nilikuwa sivijui nashukuru kwasasa kiasi naelewa.

Napenda kushukuru kwa uongozi wote wa JF pamoja na members wote kwa ujumla kwani kila siku navyopitia baadhi ya thread za watu nazidi kujifunza mambo mengi. Asanteni tuendelee kuwa pamoja.
 
Karibu sana , mie ndiye kijumbe wa humu pesa yote ya chai hupitia kwangu, hujachelewa karibu sana
 
Back
Top Bottom