Mimi Mgeni..japo sina kamba mguuni!!

Mimi Mgeni..japo sina kamba mguuni!!

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Salama wakubwa ebwana mimi mgeni cjui chochote kuhusu Jf kwa hiyo naomba 2we pa1 thanx
 
Karibu sana, mdogomdogo utaelewa mambo yanavyoenda!
 
Kamba yako mguuni tunaiona sisi wenyeji, hata hivyo usihofu, karibu mpaka ndani.
 
Back
Top Bottom