Wifi wamekukaribisha na jungu la ugali, sasa wifi mwenyewe mbona unasonga ugali kinongwa nongwa๐คฃKuweza ndio ๐
Ndoa ni UtapeliNaomba mchango wako WA Hali na Mali.
nakutania bhn mm nipo ndoani ๐คฃNakubali chifu
Popote ulipo mi nipo ๐Unapatikana wapi?
Mahari milioni kumi na bado akifika ndani anakupangia tarehe za kula mzigo kama marejesho ya vikoba ๐๐Msimamo wetu ule ule mahali milioni kumi..๐๐๐๐๐
Alooooh weeeeh ๐๐๐๐๐Katoa 7M .,alilia lia sana๐
,๐๐๐๐ sema mwanetu huko kalia sana akufuka dau ila angalau katoa 7millionMahari milioni kumi na bado akifika ndani anakupangia tarehe za kula mzigo kama marejesho ya vikoba ๐๐