flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,861
- 6,442
Ishakwambia mkuu onyo hilo ohooNa hakuna ambae anakataaga kupasha na mim,kiongoz,dunian ni kusaidiana tuu,
Ishakwambia mkuu onyo hilo ohooNa hakuna ambae anakataaga kupasha na mim,kiongoz,dunian ni kusaidiana tuu,
Sawa,bahati nzuri huko mm nilishapita niko njia kuu tuLengo kuu ni kwamba,dont HURT mwanamke,yaan kama unampenda mpende kweeel,..na kama una cheat cheat ila asijue,yaan usimuumize,..siunajua kuna watu wanakomoa,yan akiachana na dem anaanza sasa kumtolea makucha yake kwamba nilifanya hiki kile wakat tuko pa1