Mimi domo zege nifundisheni kutongoza

Mimi domo zege nifundisheni kutongoza

Dalili unazoonesha sio nzuri....Soon utavunjika moyo uamue kupata starehe kwa kuliwa wewe sasa....Mnaanzaga hivi hivi
 
Habari zenu ladies and gentlemen,

Mimi ni kijana wa miaka 24 ila tangu nibalehe sijawahi kutongoza na huwa naogopa sana wasichana.

Na ikitokea nimempenda msichana nikitaka kumfuata tu kumtongoza jogoo anawika halafu nakuwa mwoga sana.
 
Acha woga dogo.Wachukulie kama vitu vya kawaida tu.Woga wako ndo umasikini wako
 
Habari zenu ladies and gentlemen,

Mimi ni kijana wa miaka 24 ila tangu nibalehe sijawahi kutongoza na huwa naogopa sana wasichana.

Na ikitokea nimempenda msichana nikitaka kumfuata tu kumtongoza jogoo anawika halafu nakuwa mwoga sana.

ukikutana na demu mkali mpe salamu........akiitikia ujue umeshinda asilimia 90........asilimia 10 zilizobaki zitumie kuongea lolote huku main point ikiwa ni kumtongoza. dont talk too smart......n.b wanaume cku hizi hatuhangaiki kutongoza..........siku hizi wanawake wanajitegesha wenyewe
 
Hivi siku hizi kuna Kutongoza Bado..... ? Mi naona Chemistry zikiendana huwa hakuna Haja Unashangaa tu chupi zishavuliwa
 
Jiamin wewe...mwanaume kutumia hela ni ishsra ya udhaifu.....komaa kavu kavu kama wenzio tunaojiamin
Ukikomaa bila hela utakuwa unapiga rejected ambao wenye hela wamewatema!Demu mkali hasa Dar bila hela mtashindwana tu!
 
Ananza hivii
Dola:dada mambo
Dada:safi
Dola :shemeji mzima
Dada: ahh sina
Dola :akija je
Dada: ntamfikiria
Dola: Basi nenda kanifikirie mimi
 
Mkuu hizi mbinu za JF zitumie kwa makini. Usipokuwa makini unaweza kujikuta unatoka mbio kali kwa majibu utakayokutana nayo kwa mrembo.
 
Habari zenu ladies and gentlemen,

Mimi ni kijana wa miaka 24 ila tangu nibalehe sijawahi kutongoza na huwa naogopa sana wasichana.

Na ikitokea nimempenda msichana nikitaka kumfuata tu kumtongoza jogoo anawika halafu nakuwa mwoga sana.
Mtume mshenga akutongozee
 
ww jamaa inaonekana ulikua unajotenga saba na wNawake we chamsingi shirik vigodoro penye kundu kubwa la wanawake n.k pia jichanganye na makahaba hasa sinza mori au kambi ya fisi we pita tuu watakufata na kukuomba pesa ila usilale nao.nao jiwekee mazoea tuu mwishoni unapata papuchi hongera sana kijana kwa kuwa bikra hadi leo Mkeo atakufurahia mno pia mwombe Mungu mkutane e Mabikra wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom