Mimi domo zege nifundisheni kutongoza

Mimi domo zege nifundisheni kutongoza

Huo umri ulionao ndio watu wengi waliofery maisha walikosea wakiwa na umri huo, invest akili yako shuleni hayo mengine yatakuja yenyewe, ni uboya kushinda mmu halafu usijue swaga za kuongea na mademu, au unazo pesa nikuitie demu kuu la makuwadi muoneshe demu yoyote unayemtaka ukimpa malipo yake basi umelamba mzigo.
Mkuu mimi sihitaji kufanya biashara ya ngono nachotaka ni kujua swaga za kuchimbia madini hayo mapenzi niya kikahaba.
 
Za kale ni dhahabu.....
Silali nakuota wewe, nikinywa maji nakuona kwenye glass, samaki bila maji hawezi kuishi mimi bila wewe siwezi kuishi, nimekuzimia nna passion kwako... Asipokuelewa achana nae huyo dem atakua hana maana
 
😀😀😀 Jamani
 
Hahahaha...... You can't be serious
Teh teh inaweza ikafanya kazi ,ila risk assessment mimi sijafanya itabidi aliye omba kufundishwa kutongoza afanye mwenyewe ,akikutana na bi dada yupo kwenye mambo yake ya kujilipa mshahara mwisho wa mwezi ,akitolewa meno atajua mwenyewe
 
Simshauri afanye hivyo aisee 😀😀😀
 
Njoo gheto na huyo demu unayempenda nikufundishe kwa vitendo mkuu
 
Simshauri afanye hivyo aisee 😀😀😀
Inategemea na mazingira na pia uwezo wako wa kumsoma mtu unayetaka kumtongoza the moment umefanya naye eye contact ,huwezijua mwanamke anaweza akaangua kicheko ,kufanikiwa kumchekesha ndio ikafungua njia ya conversation badala ya mwanamke kuwa kwenye tension ya kukutana na stranger anakua comfortable
 
Lakini kweli 😀😀
 
uwe unasema hivi. dia mambo vp unajua mimi nakupendaga sana mpaka moyo wangu unadundaduna kama vile unaataka kuchomoka vileee unamalizia nipende basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mamaaaaaaaaaaaaa
 
Kutongoza kunategemea na mazingira pamoja na interest ya mwanamke unayetaka kumtongoza. Kikubwa tu usiwe mtu wa kugive up mapema.
 
Wabongo bana si coca cola washarahisisha tongozo au?
 
Hata zile nakuona kwenye glass bado chalii kweli kazi unayo mpaka kumchojoa mtu chu....
Lakini jitahidi kutafuta pesa ukiwa nazo unaweza kujifanya hata bubu mzigo kama kawa unapata.
Habari zenu ladies and gentlemen mimi ni kijana wa miaka 24 ila tangu nibalehe sijawahi kutongoza na huwa naogopa sana wasichana ,
Na ikitokea nimempenda msichana nikitaka kumfuata tu kumtongoza jogoo anawika halafu nakuwa mwoga sana.
 
Kutongoza kwa maneno ni kizamani sana ndugu yangu

Tafuta hela na ukizipata hawa utawatafuna hadi wengine uwakimbie
 
Kutongoza kwa maneno ni kizamani sana ndugu yangu

Tafuta hela na ukizipata hawa utawatafuna hadi wengine uwakimbie
Jiamin wewe...mwanaume kutumia hela ni ishsra ya udhaifu.....komaa kavu kavu kama wenzio tunaojiamin
 
Ukishaweza kutongoza tushtue tukufundishe kugegeda..😛😛😛
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom