Mimi Deogratius . N. Kisandu nimechoka kupotoshewa kila jambo, sasa naweka wazi

Alhaji Deogratias Nalimi Ismail Kisanduku kaka hapo utashinda hizi kesi utajiri huo unakuja.
 
Una beef hadi na kanisa,unapaswa kuombewa sana weweee la sivyo utaishia pabaya
 
Andrew sijamuona siku nyingi hapa.

Jamaa wanakuja na habari so off the tangent inabidi ucheke tu.


Andrew tangu wakati wa bifu za wapwa zake kapotea, sijui alipigwa mkwara gani ukamtuliza. Hopeful hajarudishwa kwa ward.

Kipanga huyu mtu, dont know what went wrong.
 
Kisandu babaaaaa kamuaaaa heheee hee heeee nakuelewa sana jinsi unavyosepa na kijiji
 
Wewe ni wise comedian haswa!
 
Duuh mkuu. Kila chapio ni lako dah!!

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Kisandu,
Kwa kiasi kikubwa umebainisha jinsi ambavyo Tanzania tumekosa umakini katika kuandika maneno na kunakili majina Kwa usahihi.

Na mlolongo wa shida ulizopitia Kwa vile watu hawakuwa makini ni mfano tosha tusifanye masuala muhimu kama kuandika na kunakili majina Kwa usahihi ktk hati, vyeti, vitambulisho n.k ni mambo ya rahisi.

Tukumbuke kuwa tunawapa matatizo watu siku wakihitaji kutumia hati na vyeti vyao kwa mambo muhimu ya kisheria, uhamiaji n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…