Pole sana kijana , ushauri wangu, bado hujachelewa mwite Y mwombe sana mkutane then mweleze yote hayo, kwamba unampenda sana na hauwezi ishi bila yeye, na muhakikishie kwamba ushaachana na X na la mwisho mjulishe x kwamba hauko nae tena umeamua unataka uwe na Y. mtakie maisha mema na usiangalie tena nyuma. nafikiri atakuelewa