Mtoa hoja ana hoja
Hakuna kitu kama hicho ulichokisema.
Hakiwezekani kimantiki, kisayansi na Wala kifalsafa yoyote.
Ingekuwa kweli watu wasingepambana kununua pembejeo Bali wangelitafuta mghani mashairi hodari ili wapate mavuno bora.
BICHWA KOMWE kama unamuonea wivu mtaalamu wetu nenda nawe ukasome