Mimea hatari ya kichawi

Umenifunua kuhusu tunguja za kwenye Bible
 
Hii post ni ya Kitambo lakini iko njema sana,Mshana Jr una mengi sana ya kutuelimisha ambao hatuoni mbali sio kwa macho bali kwa elimu Dunia,hii mimea noma sana na kuna mmea mwingine huku kwetu lakini sijawahi kuona wanasema ule mmea hakuna kiumbe yeyote anasogea na akitua kwenye huo mti anakufa au akipita juu yake anakufa,Waganga wanauchimba dawa kwa masharti makubwa sana so naweza amini hii MANDRAKE upo
 
Ukijibiwa naomba nitag
 
Kuna ile kauliza kwamba. Kuna mmea ambao hasogelewi na mdudu yoyote. Hata akipita juu anakufa. Kama sikosei. Ndo nikwamwambia Kama ukimtajia anitag
Kuna huo mmea ni kweli bahati mbaya sana mababu zetu walituficha mengi...kwahiyo ni mmea usiojulikana na wengi...kimsingi ni mmea wa siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…