Mimba za kuzimu

Na ndio maana tuliaswa kwa uwazi kabisa kuhusu manabii wa siku za mwisho kuwa watakuwa na uwezo hata wa kuhamisha milima na kufufua watu lakini .TUSIWAAMINI HAO.
 



Ww mtu hatar sana kama Id yako .utakuwa na maagano ya kuzimu.acha hizo mkuu!
 
Alien upo?
 


Mtakuwa wakinga
 
Mkuu Mshana leta vyombo baba maana ni bora wewe unaeeleza kuwa kuna tatizo.....kuliko mkuu wa dini anaesema hakuna tatizo na mtu umetakaswa wakati ukijiangalia matatizo unayaona
Ni kwa vile tuko busy na dunia na tunaendeshwa na mihemko na matukio ya papo kwa papo huku tukiaminishwa kuwa huo ndio uhalisia
Hatuna muda wa kutafakari kwakuwa kila wakati Tunahitaji kupata tukio jipya ...tungekuwa tunafuatilia mpaka mwisho haya matukio hakika tungefunuliwa mengi mno...watu hushangilia mtu kupata mimba au mtoto lakini yanayofuta baada ya hapo ni siri yake na hata kuna wakati hutishwa asiseme chochote
Kuna watu wamebeba mimba hizi za kuombewa na kufanyiwa dawa zaidi ya mwaka mmoja na wanapokuja kujifungua huzaa kitu cha ajabu au mtoto mfu huku vipimo vyote vya hospital vikionyesha hakuna shida yoyote
 
kuna mwalimu mwenzangu hapa alikuwa anatafuta mtoto akapewa Dawa ya kunywa akapiga double double mara 2 watoto wote wapo, kuna binamu yangu anaitwa Kolelo mjomba alimuomba mizimuni kule morgoro nae yupo, bonge la mama..
 
kuna mwalimu mwenzangu hapa alikuwa anatafuta mtoto akapewa Dawa ya kunywa akapiga double double mara 2 watoto wote wapo, kuna binamu yangu anaitwa Kolelo mjomba alimuomba mizimuni kule morgoro nae yupo, bonge la mama..
Kuna dawa za asili za mitishamba zinazosaidia kuzibua mirija ya uzazi na watu wakafanikiwa kupata watoto wasio na tatizo lolote. ..hizi tusizichanganye na mambo ya kishirikina au kuzimu
 
mshana jr iyo picha ya juu mbna km jamaa (Lucifer) ana symbo ya watu wanao fanya meditation (sixth sense/ nyoka wawili) kwenye tumbo lake

Je midetation ina ushetani ndani yake?

Maana nilisikiaga ukifika degree za juu za meditation unakua powerful kiroho kama mchawai au zaidi

Embuu ni dadavulie katika hili
 
Mkuu taja ata huduma zao kututoa tongotongo tuchukue tahadhari maana swala la imani ni kubwa
 
Meditation isipochanganywa na imani yoyote ni kitu kizuri mno lakini bahati mbaya sana ni ngumu kwahiyo kwa sehemu kubwa imani zinazopingana na uwepo wa Mungu hutumia sana meditation kama kichaka cha kuficha uhalisia wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…