mh!Hakika mshana barabarani tuna Mashetani wengi sana waliozaliwa na binadamu.
Pia ni bora kuwapeleka watoto hao kwa viongozi wa kidini walio na nguvu za Mungu JEHOVA
Nimekumbuka tu haya maandiko "Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha Mungu"Mada namna hii ni nzuri maana naishi ndani ya yanazungumzwa na nayajua......binafsi kuna dada mmoja wa miaka kama 37 hivi ambae hakuwahi kushika mimba tangu kuvunja ungo kwake.
Alinifuata kuhitaji msaada wangu maana ameshapoteza matumaini na tiba za kizungu hazionyeshi manufaa kwake, nikafanya nnachokijua akashika mimba na kujifungua (japo alijifungua kwa tabu mpaka nikatuma nguvu za ziada)
Jana amenitembelea akiwa na furaha kuu na yeye kuwa na mtoto na alikuwa mtoto ameshafikisha siku arobaini.
Narudi kwenye mada.....nayajua maagano yake na roho zinazomuandama yule mtoto na mama......najua anahitaji ukaribu na mimi ili mambo yaendelee kuwa sawa......najua pindi mambo akiyaacha njiani kwa kunidharau kisa katimiza lengo lake nini kitampata......nk nk
Ni kweli mkuu maana anaesema anataka watu waache......vipi kuhusu pesa mtu anaweza pata kiasi cha kutajirika kwa njia hizo?Heri ya yule anaekufungua masikio kuliko anaenyamaza......
Lengo ni kukumbushana kesho yetu...akhsante kwa maandiko
Hakika ndugu jichawi. Kinga ni bora kuliko tibaHeri ya yule anaekufungua masikio kuliko anaenyamaza......
Lengo ni kukumbushana kesho yetu...akhsante kwa maandiko
Kama unasema kwa manabii sasa huyo Mungu tunamuombea wapi??Jihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.
Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.
Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.
Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!
Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Huku kwetu kuna mabosi wanaomiliki mabasi ya safari za mikoani na ni marafiki zangu......si mara moja wala mara mbili pale wanapopokea simu kuwa mabasi yao yamepinduka na kuua watu wengi.....hawaonyeshi mshtuko ila wanakuwa na furaha! Na baada ya mda mtu anaongeza mabasi mapya hii inakuwaje? Ni kafara?Naam ila kafara lazima ziwepo pamoja na masharti....
Akhsante mkuuKuhusu hao mabosi wa mabasi unaowasema siwezi kuwahukumu moja kwa moja, ila wapo wanaotumia uchawi/majini kufanikiwa na watu wanapokufa wao hufurahi kwani milango itazidi kufunguka kwani wakuu wameshapata damu.
Kuhusu huyo ndugu yako sio Freemason bali ni maagano ya kiganga na mizimu.
Ni vema ukajikita kwenye mada
[emoji2] [emoji2] [emoji2]View attachment 322979kama huyu