Pole mkuu ila usione tabu mchukulie kama alivyo,mimi imewahi kunitokea kama mara mbili,nikiwa form 6 kuna dada alikuwa ameolewa na alipokuwa anafanya kazi na nilipokuwa naishi tulikuwa majirani mimba yake ilinipenda mno alikuwa anakuja geto anakula ninachokula,akiniona natoka shule utasika daudi nimenunua parachichi nenda kasonge ugali nakuja,cha ajabu alikuwa anamchukia sana mumewe hapo ndo nilikuwa naogopa nikahisi labda mumewe atajua kuwa mimi ndo natafuna ila haikuwa hivyo maana mumewe alikuwa muelewa sana,akimpa hela mwanamke anakuja kunipa yaani in short tulikuwa kama tuna uhusiano alitamani hata kwenda na mimi shule mwisho wa siku alijifungua mtoto wa kike mume wake alikuja kunishukuru na kunipa pole kwa usumbufu nilioupata ila wanakera sana some time,mvumilie tu usimchukie