Mimba ya uongo...je anastahili?

Mimba ya uongo...je anastahili?

Makambuya

Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
45
Reaction score
3
Wadau mimi nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tupo mbalimbali yeye yupo Dar mimi nipo Dodoma, nimekuwa nifanya kila linawezekana kumwonesha kuwa nampenda ikiwa ni pamoja nakufuata dar mara kwa mara. mwezi August nilikuwa nae kwa muda wa siku3 nakudate nae bila kinga ilipofika Septemba akaniambia hajaziona siku zake nikamwambia akapime ndipo aliponiletea matokeo yakwamba ana mimba kwa mara ya kwanza sikutaka kuamini haraka japo sikuonesha hali yakukataa baadae nikakubaliana nae nakuonesha furaha yangu kwa kuwa baba mtarajiwa ila nikamwambia anitumie vipimo akawa amekubali siku yaku2ma ikafika akaniambia saa kumi niende ofisi za shabby nikachu chaaja muda ulipokaribia wakwenda kuchukua hvyo vipimo akanipigia simu nakuniambia alikuwa nanidanganya tu kwa sababu eti alikuwa anataka kujua kama nampenda. je huyu ananifaa? wadau nipeni ushauri maana toka ameniambia hivyo sina hata hamu nae.
 
wee ndio unajua kati ya hisia zako kwake na uongo aliosema kipi kina uzito kwako.
 
Huyu anakufaa sana...manake anakupa 'faces' zake zote..yaani she can tell lies to you!!..she can confess!..what a wife!!..lol!...absolutely she deserves to be your wife..dont worry buddy!!
 
huyu anaweza kuwaambia rafiki na ndugu kuwa wewe umefasiri kumbe kashakunyonga hahahaha
 
Msamehe tu, japo na mie hizo test sizipendi kama nini. . .though japo alikua honest kukwambia msamehe tu!
 
Ye ndo anatakiwa auliye kuwa we unamfaa au vipi?
 
hizo mambo czipendi hata kdogo, iliwahi nitokea hiyo nkafurahi cjawahi after 3 wiks nkaambiwa nataniwa. tangu kpind hcho cjarudi ktk form kabsa, sometymz najirazimisha tu kudate naye. Jaribu kupima mwenyewe kama anakufaa au la, Wadada bhana
 
Umeonesha nia ya kumtosa? Alikuwa anataka assurance kama akipata mimba kweli utakuwaje? So siyo mbaya, mweleze kuwa utani wnye interest kubwa hivyo siyo mzuri na just assure her kuwa unampenda.
 
Wadau mimi nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tupo mbalimbali yeye yupo Dar mimi nipo Dodoma, nimekuwa nifanya kila linawezekana kumwonesha kuwa nampenda ikiwa ni pamoja nakufuata dar mara kwa mara. mwezi August nilikuwa nae kwa muda wa siku3 nakudate nae bila kinga ilipofika Septemba akaniambia hajaziona siku zake nikamwambia akapime ndipo aliponiletea matokeo yakwamba ana mimba kwa mara ya kwanza sikutaka kuamini haraka japo sikuonesha hali yakukataa baadae nikakubaliana nae nakuonesha furaha yangu kwa kuwa baba mtarajiwa ila nikamwambia anitumie vipimo akawa amekubali siku yaku2ma ikafika akaniambia saa kumi niende ofisi za shabby nikachu chaaja muda ulipokaribia wakwenda kuchukua hvyo vipimo akanipigia simu nakuniambia alikuwa nanidanganya tu kwa sababu eti alikuwa anataka kujua kama nampenda. je huyu ananifaa? wadau nipeni ushauri maana toka ameniambia hivyo sina hata hamu nae.
Ebwana Demu anakupenda alikuwa anatumia kipimo cha mimba kupima upendo wako na kama upo teyari kuvaa majukumu once ukimpa mimba maana Wanaume tunapenda kuchovya linapokuja suala la mimba tunazikataa nakuwatosa
Bt sio mbaya kumthibitishia ni kiasi gani unampenda na kumkanya asilirudie tena maana hiyo ni presha.
Msamehe na umuoe kama kweli naww una nia ya dhati.
 
Mimi nashindwa kuelewa...Ni kweli kwamba unataka kuchukulia hili kama kosa kubwaaa la kumpiga kibuti huyo girlfriend wako? Bro mbona hili swala dogo saana!!!! Afu bila aibu eti unaomba ushauri!!!!!!!!!!!?
Tena wewe ni mjinga saaaaana we unapobembea na kupiga sarakasi zako unafikiri kuwa ule ni uwanja wa starehe zako? ile sio 84 au royal village au pizeria ni mtu kama wewe!!!
Kakutania ana ujauzito eti unataka umwache!!!
Kosa kukutania asipokutania mpenzi wake atamtania nani!!! mimi najua wapenzi huwa wanataniana sanaa!!
Mwache kisa kakutania ukatafute wengine uwakute ni vicheche, wakuambukize ngoma!
afu huyo unayemwacha tutakusaidia
 
Shemejio aliwahi nambia haoni siku zake baada ya kufanya naye mapenzi kama mwezi ulipita. Kwa sababu na mi nayajua mambo haya nikamwambia asubiri zipite siku tano aafu ukapime. Zilivyopita akanambia nimepima nimekutwa na mimba,tutafanyaje na mi sijajiandaa kuwa mama?! Nikamwambia jiandae tuilee,hayo mengine yatajulikana mbele. Akanijibu, ASANTE HONEY, I LOVE YOU! siku zangu niliziona juzi. !! Wengi wao huwa wanajaribu waone kama unafaa kuwa baba wa watoto wake? Maana baba hakimbii majukumu. Huyo anakupenda,tena sana na ukimuacha utakuwa umepoteza mke na kuoa msichana mkubwa.
 
binafisi nimeipenda staili yake,ila wewe ndio unamjua vizur zaidi yetu kama anakufaa ama la.mm sioni tatizo,msameheeee.
 
mbona test za kawaida sana huwa tunawafanyia nyie wenzetu, hapo unapimwa kama likitokea la kutokea utakubali kubeba majukumu? Reaction yako ndo itakuondolea au kukupunguzia maksi
 
Na wewe revenge mwambie umepima HIV upo positive

mmmh! Hizi test zingine hazifai. Nakumbuka nikiwa mabibo kuna jamaa walikuwa wanataniana sana!! Siku moja m1 akawa na gf wake, mwenzake akaja na kumwambia.: yule malaya wako wa juzi kaja hapa anasema hupatikani kwenye cm na anakutafuta sana. Yule gf wa jamaa akamaind ila akapozwa japo kwa shingo upande. Jamaa wa pili kuna mtoto mkali ndo alikuwa amemtia nyavuni amekaa naye rum wanaongea, yule mwenzake akaja na bahasha na kumrushia kisha akamwambia: unajua jana ulivyotoka hospitali kupima ulichanganyikiwa mpaka ukasahau majibu yako room kwangu? Yule demu alihamaki na kukimbia, na toka siku ile alikuwa anamkimbia yule mshikaji!
 
Da! Wanawake jamani akili nyingine zitawaletea matatizo
"Eti nilikuwa natania"
Kuna vichwa havitaniwi mambo yaliyo siriasi,tafuteni aina ya utani maana akili ya mwanadamu hubadilika dakika hadi dakika.
Kwa akupendae kwa dhati kauli yoyote ina maana.Nimewahi kushudia rafiki yangu alipigiwa simu na mchumba wake akimwambia anamkaribisha kwenye harusi yake angeolewa karibuni.Rafiki yangu akamuuliza maswali mawili matatu,akampigia simu na rafiki wa mchumba wake (kumbe walikuwa wote) nae akasema ni kweli ataolewa.
Rafiki yangu alichofanya alimtakia kheri,akakata simu akabadili namba,akajuta na kwa hasira akaoa msichana mwingine.
Miezi miwili baadae yule mchumba wake kafanya safari ya ghafla,kakuta jamaa ana mke,alipoulizwa kuhusu ndoa yake akasema"ETI NILIKUWA NAKUTANIA"Ikala kwake
Utani uwe na mipaka
Ushauri:
Mvutie subira Kaka,,bado anahakikisha upendo wako!!
 
Hivi nyinyi ni mtu na gf wake au ni WACHUMBA? Manake wakati mwingine tunaweza kushauri bila kujua lengo la urafiki wenu ni nini? MWanaume ukishachovya vya kutosha ukosi sababu ya kutaka kukimbia...hasa haya mahusiano ya mbalimbali.....ushaonja huko UDOM nini unatafuta sababu ya kummwaga dada wa watu!!!!! Kwa ufupi, huo utani ni jambo dogo sana....kama una nia ya kumuoa jiandae na makubwa zaidi yanakuja...komaa!
 
mnavotokaga mita baada ya kusikia mimba, lol huo ulikua mtihani tosha, hongera kwa kufaulu
 
Back
Top Bottom