labda hajiamini ndio mana akataka kuhakikisha usije ukamtupa au ajitayarishe akiwa kwenye hali hiyo,chamsingi ebu tumia kinga kwanza na kwaupande wangu mie naona bora kakuamshaa hutocheza mbali na kinga kwa sababu hata kama ingekua ya mtu mwengine ungepewa wewe....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.