Mimba ya mke wangu inanitesa

May be mke wangu basi ni tofauti. Maana siku za mwanzo alikuwa ananiagiza vitu vya ajabu ajabu, nilipoona atazoea nikawa napotezea... Baadae akaacha.
mmh, labda hali hiyo kwake haikuwa serious, coz nimeongea na dactari anasema ni muhimukumpatia anachotaka kama hakiadhiri afya yake, maana akikosa atakuwa na msongo wa mawazo which might lead to miscarriage.
 
Huu uzi umenichekesha sana! Hata sijui ulinipitaje. Lol!
 
huyo hapo juu ulikimbia mateso, ukaopoa dogo dogo?
 
Eeeh, humu kuna watu waongo sana jamani lol!We mwenye mdomo mrefu si umeanzisha sred kuwa mchumba wako unaishi nae mbali na mengine mengi, tena hapa lol!Ebu ona aibu wewe
 
mmh, labda hali hiyo kwake haikuwa serious, coz nimeongea na dactari anasema ni muhimukumpatia anachotaka kama hakiadhiri afya yake, maana akikosa atakuwa na msongo wa mawazo which might lead to miscarriage.

Khaa!We noma na kweli una kipaji cha utungaji ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…