malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,781
- 2,720
Sinimpaka zifike siku 30Hizo siku 17 si ndo mwezi wa 9.
Mkuu huwa hizi mambo wanahesabu kwa wiki na sio miezi, kama ulihesabu miezi 8 na siku 17 ina maana wiki 36 zimeshatimia anajifungua. Ila kama wiki 36 hazijatimia utahitaji ushauri wa daktariHabar wakuu poleni namjukum mke wangu anamimba ya miezi 8 na siku17 ...mjamzito anadalili zinazofannana na uchungu kuuma nyonga maumivu yanakuja nakuachia...je kunauwezekano wakujifungua na mtoto akawa hai kwa umri wa mimba hii ya miez8 na siku17..maana mimba miezi 9 kamili Bado haijakamilika
Mkuu mim nilihesabu siku niyotungishisha mimba danger day...after kwenda clinic hesabu za miez ya mimba zilikwenda sawa sawa na siku niliyotungisha mimba maana hakukuwa na makutano ya kimwili mwezi mzima tofauti na siku hiyo ya dangerMkuu huwa hizi mambo wanahesabu kwa wiki na sio miezi, kama ulihesabu miezi 8 na siku 17 ina maana wiki 36 zimeshatimia anajifungua. Ila kama wiki 36 hazijatimia utahitaji ushauri wa daktari
😂😂 Kwan unavosikia miezi tisa ni kwamba zimekamilika miezi tisa bila siku kadhaa kupungua au kuongezeka.?Sinimpaka zifike siku 30
Najua kukamilika nimiez 9 kutimia nakuongezeka siku kidgo..kwani ikojeKwan unavosikia miezi tisa ni kwamba zimekamilika miezi tisa bila siku kadhaa kupungua au kuongezeka.?
Pole 😂Najua kukamilika nimiez 9 kutimia nakuongezeka siku kidgo..kwani ikoje
TuelimishanePole
Tunaanza kuhesabu siku ya mwisho kupata period... Sio danger day.Mkuu mim nilihesabu siku niyotungishisha mimba danger day...after kwenda clinic hesabu za miez ya mimba zilikwenda sawa sawa na siku niliyotungisha mimba maana hakukuwa na makutano ya kimwili mwezi mzima tofauti na siku hiyo ya danger
Mwisho wa siku ikawaje walijifungua kabla ya miez9 au walitimiza miez9...au ndo wanamimba Sasa hiviTatizo lako linafanana na la wake zangu, wao walipata ujauzito kwa pamoja na wote bado siku chache wajifungue wakati huo dalili hizo wanazipa,MUngu atusaidie
😂 Vp ndo mimba yenu ya kwanza eeeTuelimishane
Sio yakwanzaVp ndo mimba yenu ya kwanza eee