Mimba ya kwanza miezi kumi

SUTE

Senior Member
Apr 18, 2018
180
225
Wasalaam,
Mwaka jana mdogo wangu alisadikiwa kumpa ujauzito binti wa jirani ili kupisha mambo mengine tukamwonya na kwa sababu binti yule alikuwa anaendana naye tulimsihi atulie ajifungue ikiwa huyo mtoto ni kweli ni wa bwana mdogo atamwoa,

Hatimaye mwaka huu binti amejifungua, na kwa maelezo ya dogo anasema alikutana naye mara moja tu, tukachukua siku aliyokutana naye mpaka siku ya kujifungua ni sawa na siku 302 yaani wiki 43,, miezi kumi,,,

Kwa mwenye elimu tafadhali atusaidie elimu maana familia ya binti tulishaahidi dogo atamwoa iwapo mtoto ni wake,

Lakini tunashindwa kuelewa mimba ya kwanza miezi kumi,

Shukurani
 
Luv

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
1,852
2,000
Wiki 43 huwa inatokea mkuu, ila subiri wataalam waje watujuze nini huwa kinasababisha.

Pia mnaweza kupima vinasaba vya baba na mtoto kwa uhakika zaidi
 
SUTE

Senior Member
Apr 18, 2018
180
225
Wiki 43 huwa inatokea mkuu, ila subiri wataalam waje watujuze nini huwa kinasababisha.

Pia mnaweza kupima vinasaba vya baba na mtoto kwa uhakika zaidi
Wataalamu wa afya bado wapo kazini, watupe elimu kwa faida ya wengi
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,187
2,000
Sasa kwa huyu binti ni mimba ya kwanza

Mkuu hio haijalishi kwa sababu mke wangu amejifungua hii ni mara ya tatu.

Wa kwanza alijifungua week ya 40 wa pili akajifungua week ya 36 na huyu wa tatu ndio hiyo week ya 43.

Au mnahisi huyo mtoto atakuwa sio wa kijana wenu?
 
Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
695
1,000
Wasalaam,
Mwaka jana mdogo wangu alisadikiwa kumpa ujauzito binti wa jirani ili kupisha mambo mengine tukamwonya na kwa sababu binti yule alikuwa anaendana naye tulimsihi atulie ajifungue ikiwa huyo mtoto ni kweli ni wa bwana mdogo atamwoa,

Hatimaye mwaka huu binti amejifungua, na kwa maelezo ya dogo anasema alikutana naye mara moja tu, tukachukua siku aliyokutana naye mpaka siku ya kujifungua ni sawa na siku 302 yaani wiki 43,, miezi kumi,,,

Kwa mwenye elimu tafadhali atusaidie elimu maana familia ya binti tulishaahidi dogo atamwoa iwapo mtoto ni wake,

Lakini tunashindwa kuelewa mimba ya kwanza miezi kumi,

Shukurani

Yote yanawezekana inawezekana mimba ni ya dogo na ndo imeenda mpaka wiki 43 inawezekana pia mimba sio yake ya mtu aliepita kabla yake njia pekee ni DNA au jamaa na mke waulizane kama hajawah lala na mtu mwengine zaidi ya jamaa kwa miezi 10 kabla basi ni yake alee tu
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,075
2,000
Fanyeni DNA test lakini dogo kama amependa aoe tu mtoto wa pili atakuwa wake.

Sababu za kuoa zinatia mashaka, hata kama mtoto ni wake kama hakuna mapenzi ni kheri wasioane.
 
SUTE

Senior Member
Apr 18, 2018
180
225
Mkuu hio haijalishi kwa sababu mke wangu amejifungua hii ni mara ya tatu.

Wa kwanza alijifungua week ya 40 wa pili akajifungua week ya 36 na huyu wa tatu ndio hiyo week ya 43.

Au mnahisi huyo mtoto atakuwa sio wa kijana wenu?
Tunahofia hilo mkuu
 
MZEE RAZA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
2,702
2,000
Wasalaam,
Mwaka jana mdogo wangu alisadikiwa kumpa ujauzito binti wa jirani ili kupisha mambo mengine tukamwonya na kwa sababu binti yule alikuwa anaendana naye tulimsihi atulie ajifungue ikiwa huyo mtoto ni kweli ni wa bwana mdogo atamwoa,

Hatimaye mwaka huu binti amejifungua, na kwa maelezo ya dogo anasema alikutana naye mara moja tu, tukachukua siku aliyokutana naye mpaka siku ya kujifungua ni sawa na siku 302 yaani wiki 43,, miezi kumi,,,

Kwa mwenye elimu tafadhali atusaidie elimu maana familia ya binti tulishaahidi dogo atamwoa iwapo mtoto ni wake,

Lakini tunashindwa kuelewa mimba ya kwanza miezi kumi,

Shukurani
Mimi nadhani kama binti angezaa kabla mimba haijatimia miezi 9 ndo mlipaswa muwe na mashaka huenda mimba ni ya mtu mwingine.
 
Thad

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
12,732
2,000
Kitanda hakizai haramu, leeni huyo mtoto ni wenu tu. Hiyo ya wiki 43 sio shida inatokea kwa baadhi ya watu
 
MZEE RAZA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
2,702
2,000
Tayari ameshapewa jina bila kuhusishwa sisi
Sasa si wamewaona mnataka kukwepa majukumu!

Halafu mwambie dogo ajifunze matumizi ya kondomu, ipo siku atamtia mimba mwanafunzi hatimae itakuwa ni miaka 30 jela
 
SUTE

Senior Member
Apr 18, 2018
180
225
Sasa si wamewaona mnataka kukwepa majukumu!

Halafu mwambie dogo ajifunze matumizi ya kondomu, ipo siku atamtia mimba mwanafunzi hatimae itakuwa ni miaka 30 jela
Wataalamu wa afya tafadhali kama kuna njia mbadala ya kujiridhisha, pasipo DNA
 
Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
15,744
2,000
Wataalamu wa afya tafadhali kama kuna njia mbadala ya kujiridhisha, pasipo DNA
hivi unahangaika nini? S umeambiwa ni swala la kawaida na hua inatokea? Kama mnataka kumtelekeza binti wa watu mwacheni kuliko kutafta sababu hazina maana mimba kufikisha huo muda ni swala la kawaida na lipo si kua ndio limeanzia kwake hakuna njia nyengine zaidi ya DNA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom