Mimba ya kwanza miezi kumi

hivi unahangaika nini? S umeambiwa ni swala la kawaida na hua inatokea? Kama mnataka kumtelekeza binti wa watu mwacheni kuliko kutafta sababu hazina maana mimba kufikisha huo muda ni swala la kawaida na lipo si kua ndio limeanzia kwake hakuna njia nyengine zaidi ya DNA
Hii nayo ni changamoto
 
Wasalaam,
Mwaka jana mdogo wangu alisadikiwa kumpa ujauzito binti wa jirani ili kupisha mambo mengine tukamwonya na kwa sababu binti yule alikuwa anaendana naye tulimsihi atulie ajifungue ikiwa huyo mtoto ni kweli ni wa bwana mdogo atamwoa,

Hatimaye mwaka huu binti amejifungua, na kwa maelezo ya dogo anasema alikutana naye mara moja tu, tukachukua siku aliyokutana naye mpaka siku ya kujifungua ni sawa na siku 302 yaani wiki 43,, miezi kumi,,,

Kwa mwenye elimu tafadhali atusaidie elimu maana familia ya binti tulishaahidi dogo atamwoa iwapo mtoto ni wake,

Lakini tunashindwa kuelewa mimba ya kwanza miezi kumi,

Shukurani
 
Back
Top Bottom