Mimba mashuleni

Mjasiramali, mimi naonelea badala ya kusubiri wapate mimba ili tuwape adhabu tungewajengea mazingira mazuri na kuwapa elimu itakayowasaidia, kuongea nao kwani nina mifano ya wale ambao niliongea nao walikiri kubadilika na kutumia akili, si kwamba wameacha kufanya bali wanafanya kwa umakini! pili wazazi wasimame kwenye zamu zao, wasiwaachie walimu wawalelee watoto wao peke yao, .mwisho ni jamii nzima ipate elimu sahihi na sio kuwaadhibu tu! asante Mpwa
 
Sorry nimekosea kutaja jina kumbe ni Mjasiria but I believe umekipata kile nilichotaka kusema eeeh MPWA
 
kikweli mi naona wasichana watakuwa innocent pale ambapo elimu ya mahusiano haikutolewa pia ikiwa mazingira hatarishi yapo
upande wake, hivyo akipata mimba itakuwa kweli hakupenda ila kwa wale waliojichagulia njia ya kuwa misharuko ni kweli mimba wameitaka
 
Mjasiramali, mimi naonelea badala ya kusubiri wapate mimba ili tuwape adhabu tungewajengea mazingira mazuri na kuwapa elimu itakayowasaidia, kuongea nao kwani nina mifano ya wale ambao niliongea nao walikiri kubadilika na kutumia akili, si kwamba wameacha kufanya bali wanafanya kwa umakini! pili wazazi wasimame kwenye zamu zao, wasiwaachie walimu wawalelee watoto wao peke yao, .mwisho ni jamii nzima ipate elimu sahihi na sio kuwaadhibu tu! asante Mpwa
Nakubaliana na wewe mwalimu, lakini wakati tuko katika wa kutoa elimu ni kitu kifanyike kuhusu matukio kama haya yatakayokuwa yanaendelea kutoa. Zaidi ni kwamba hata kama tutakuwa tumeandaa mazingira na kutoa elimu kiasi cha kutosha, je ni hatua zipi ni sahihi kuchukulia ikitokea jambo kama hili limetokea? Je itakuwa ni sawa kumwadhibu msichana husika??

Sorry nimekosea kutaja jina kumbe ni Mjasiria but I believe umekipata kile nilichotaka kusema eeeh MPWA
Nimekupata mkuu.
 
Nakumbuka siku moja tulifanya inspection ya ghafla kwa kidato cha nne, nikawakuta wanafunzi wawili wa kiume wamebeba condomz! sikuwaadhibu bali niliwauliza kama wanajua namna ya kuzitumia? nadhani atakua Feis buku....
 
Asante Husninyo, kweli ningeamua kuandika yake yote yanayopelekea mimba za mabinti kwa mapana yake, baadhi yetu tungelia kwa sababu yanatisha jinsi vijana wanavyoishi kwenye risk ya hali ya juu...ntaaandaa makal theni ntaipost hapa na kwenye blog yangu japo itakuwa ndefu na wengi hatuna utamaduni wa kusoma vitu virefu bado namini yaweza kusaidia baadae

wewe ni mwalimu mzuri sana. Ngoja nitafute kababy fasta fasta nikalete ukafundishe! Usistaafu hadi nikapate. Lol
 
wewe ni mwalimu mzuri sana. Ngoja nitafute kababy fasta fasta nikalete ukafundishe! Usistaafu hadi nikapate. Lol

Kalete tu katarudi salama usalimini, sina mkuki wala kisu, ila baada ya kazi nikupumzika!
 
Hata vyuo vikuu hali ni hiyo hiyo.Kama UDOM sasa utoaji mimba na mimba zembe zimezagaa kweli kweli. Mambo si mazuri nadhani hata UKIMWI itakua juu kwani inonesha hawatumii kinga
 
Mkuu vipi kuhusu swali nililouliza, wewe una maoni gani?

Mi naona bora makosa yote yangekua ya msichana mana kama alijua kunakupata mimba kw nn alikubali kut*bwa!! halafu videnti vy cku hz vikienda shule vinajiremba kishenzi huwa navitamani!!!
 
Mi naona bora makosa yote yangekua ya msichana mana kama alijua kunakupata mimba kw nn alikubali kut*bwa!! halafu videnti vy cku hz vikienda shule vinajiremba kishenzi huwa navitamani!!!
Mkuu hiyo avatar dah............ kwa hiyo wewe unaona kwamba wanaume wanaoshawishi hivi vibinti hawatakiwi kubebeshwa mzigo kabisa?
 
mkuu hiyo avatar dah............ Kwa hiyo wewe unaona kwamba wanaume wanaoshawishi hivi vibinti hawatakiwi kubebeshwa mzigo kabisa?

hii avatar ni mkono 2!! ....... Vident ndio huwa vinatega na sisi 2nafanya kumalizia kw hiyo ha2na kosa lolote.
 
Back
Top Bottom