Mimba kwenye kwaya za makanisa ya kilokole

hayo mengine uliyosema sina uhakika nayo, ila hapo kwenye bold umeskip the line. Kakobe ahubiri prosperity gospel. Anahubiri injili ya wokovu na kuishi kwa kumpendezesha Mungu na si wanadamu. usimfananishe na mchungaji wa kanisani kwako

I think either you or him are parsing words but the essence is still the same.
 
ndugu, dadako anaimba kwaya na amepata mimba, au una maana gani kuleta thread hii hapa? mimba za makanisani ni chache sana kuliko za mitaani, makanisani watu mnaona kama ni kitu cha ajabu, na kweli ni cha ajabu, lakini ya mitaani inaonekana kama ni kitu cha kawaida ndio maana hata kuipublicise haihitajiki...upo hapo kulichafua jina la kanisa au? kwasababu kwenye makanisa ujue huwa kuna watu waliokomaa kiroho na wasiokomaa kiroho, wale wanaomjua Mungu kikwelikweli hawawezi kufanya hivyo, ila wale ambao wameokoka karibuni au wanaigiza, ndo huwa wanaleta sifa mbaya kama hiyo...may God help you.

Dunia imekuwa ikishuhudia matendo maovu yanayofanywa na makasisi, mapadre na maaskofu. Mambo ya ulawiti na vitendo vya ngono kwa watoto. Wenye kumbukumbu nzuri hapa hapa Tanzania miaka ya hivi karibuni kuna padre alihukumiwa kwenda jela kwa kosa la kumlawiti kijana ndani ya gari lake pale chuo kikuu sasa sijajua kama alikuwa amekomaa kiroho au la.... na hao wanaofanya mambo kama hayo kwingineko duniani sijui na wenyewe hawajakomaa kiroho? nani sasa aliekomaa kiroo?

Kuna wengine watumishi wa Mungu ama walikuwa watumishi na wakatoka lakini wamezini mpaka wana watoto wa nje ya ndoa. Sijui na mtu kama huyo amekomaa kiroho au hajakomaa kiroho.

Kabla ya kuhitimisha naomba nimnukuu Father Donald Cozzens maneno yake aliyoyaandika kwenye kitabu chake kiitwacho "The Changing Face of the Priesthood:"

"I confess to a certain anxiety as I begin this reflection on homosexuality and the priesthood. Whatever it said about such a sensitive and complex issue is open to misunderstanding and seeming insensitivity. Some will deny the reality that many observers see as changing the face of the priesthood that the percentage of homosexual priests and seminarians is significantly higher than society at large. Others will see any attention given to the phenomenon as a symptom of the homophobia that is characteristic of individuals with less than open minds. Still others will wonder what difference sexual orientation makes in the celibate lives of priests."

"Sooner or later the issue will be faced more forthrightly than it has been in the closing days of the 20th century. The longer the delay, the greater the harm to the priesthood and to the Church."
 
Nimeamka na kukumbuka ndoto ya usiku ambapo mie na wife na mtoto wetu tulikuwa tuko mahali tunaangalia kwaya inayoimba vizuri sana na kusababisha mpaka watu kusimama kuishangilia kwa sababu ya jinsi wanavyoimba vizuri na kutouch hisia za watu. Lakini mara tukaona katikakati yao wako ambao wako uchi na wengine wanafanya uchafu(uasherati na uzinzi), mpaka binti yangu akaniambia baba mbona hawa watu wanaimba lakini wanafanya uchafu huu? Tukaamua kujiondokea kwani tuliona hapatufai, tunachafua nafsi zetu bure.

Nashangaa kufungua thread ya kwanza JF naona inaongelea suala hili.

Naomba nichangie kwa kueleza kuwa uasherati au uzinzi ni wa kukimbia siyo suala la kusema tu kwamba ninaomba na kusali sana siwezi kuingia kwenye dhambi hii. Ndiyo nakubali kabisa kuwa ili ushinde vishawishi/majaribu ni lazima kuomba lakini nakushauri usiendekeze mahusiano ya karibu kati ya mvulana na msichana au mwanaume au mwanamke ambao siyo walio na ndoa. Kwa kuendekeza ukaribu wa namna yoyote kati ya jinsia mbili tofauti utakuingiza kwenye dhambi hii na utashitukia ulishafanya.

Nikukumbushe pia kuwa kwenye kwaya/kanisa/ulokole watu wanaingia na interest tofauti ambazo anayezijua ni Mungu, Shetani na wao wenyewe. Kwa hiyo isipe shida kuona anayesema ameokoka/anayeimba kwaya akapata mimba; kwangu ninasikitika kwa kuwa anakuwa amelitukana jina la YESU na WOKOVU kwa ujumla lakini ni Matunda ya kile alichopanda huko ndani ya kwaya au kwenye wokovu anaosema na Mungu anaamua kumuonyesha kwa watu kuwa siyo mwenzetu au hajali yale anayofundishwa. Nikukumbusheni kuwa atakayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka; bado tuko safarini na kwa hiyo ni muhimu kutunza tiketi yako ya safari na usichafue mavazi yako ya safari.
 
Inasikitisha, Inasikitisha inasikitisha. Hapa mtaani kwetu ninakoishi kuna watu kadhaa ambao bado sijapata idadi wamefariki kwa utoaji wa mimba. Mmoja nimesikia amefariki leo tena alikuwa mwanakwaya halafu mlokole wa kanisa la Assem.............of nini sijui.
 
Nimeamka na kukumbuka ndoto ya usiku ambapo mie na wife na mtoto wetu tulikuwa tuko mahali tunaangalia kwaya inayoimba vizuri sana na kusababisha mpaka watu kusimama kuishangilia kwa sababu ya jinsi wanavyoimba vizuri na kutouch hisia za watu. Lakini mara tukaona katikakati yao wako ambao wako uchi na wengine wanafanya uchafu(uasherati na uzinzi), mpaka binti yangu akaniambia baba mbona hawa watu wanaimba lakini wanafanya uchafu huu? Tukaamua kujiondokea kwani tuliona hapatufai, tunachafua nafsi zetu bure.

Nashangaa kufungua thread ya kwanza JF naona inaongelea suala hili.

Naomba nichangie kwa kueleza kuwa uasherati au uzinzi ni wa kukimbia siyo suala la kusema tu kwamba ninaomba na kusali sana siwezi kuingia kwenye dhambi hii. Ndiyo nakubali kabisa kuwa ili ushinde vishawishi/majaribu ni lazima kuomba lakini nakushauri usiendekeze mahusiano ya karibu kati ya mvulana na msichana au mwanaume au mwanamke ambao siyo walio na ndoa. Kwa kuendekeza ukaribu wa namna yoyote kati ya jinsia mbili tofauti utakuingiza kwenye dhambi hii na utashitukia ulishafanya.

Nikukumbushe pia kuwa kwenye kwaya/kanisa/ulokole watu wanaingia na interest tofauti ambazo anayezijua ni Mungu, Shetani na wao wenyewe. Kwa hiyo isipe shida kuona anayesema ameokoka/anayeimba kwaya akapata mimba; kwangu ninasikitika kwa kuwa anakuwa amelitukana jina la YESU na WOKOVU kwa ujumla lakini ni Matunda ya kile alichopanda huko ndani ya kwaya au kwenye wokovu anaosema na Mungu anaamua kumuonyesha kwa watu kuwa siyo mwenzetu au hajali yale anayofundishwa. Nikukumbusheni kuwa atakayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka; bado tuko safarini na kwa hiyo ni muhimu kutunza tiketi yako ya safari na usichafue mavazi yako ya safari.
Umenena vema. Mwenye akili na aelewe
 
Wanakwaya waliookoka wasio na ndoa wanapataje mimba?
Maana ukiwasalimia dada mambo? Utawasikia wakijibu mambo kwa yesu.
Lakini cha kushangaza na kusikitisha ni mabingwa wa kubeba mimba kabla ya ndoa

Ingekuwa vyema kama ungetupa data kamili na source ya hiyo taarifa yako. Kama huna data kamili wala any reliable source basi ujumbe wako umekaa zaidi katika ushabiki (anti - "walokole"). Kimsingi mada yako haitakiwi hapa, kwa sababu ina chembe chembe za udini.
 
Mimi mpaka sasa ninao mabinti wawili wa kilokole nabanjuka nao mmoja Pentecoste (PHM) na mwingine Assemblies, tena mmoja matata sana kitandani (Assemblies), utadhani huwa anatazama picha za kikubwa jinsi anavyojituma.
 
Naona watu wengine ni mabingwa wa kusema uongo. Lol!
 
ndugu, dadako anaimba kwaya na amepata mimba, au una maana gani kuleta thread hii hapa? mimba za makanisani ni chache sana kuliko za mitaani, makanisani watu mnaona kama ni kitu cha ajabu, na kweli ni cha ajabu, lakini ya mitaani inaonekana kama ni kitu cha kawaida ndio maana hata kuipublicise haihitajiki...upo hapo kulichafua jina la kanisa au? kwasababu kwenye makanisa ujue huwa kuna watu waliokomaa kiroho na wasiokomaa kiroho, wale wanaomjua Mungu kikwelikweli hawawezi kufanya hivyo, ila wale ambao wameokoka karibuni au wanaigiza, ndo huwa wanaleta sifa mbaya kama hiyo...may God help you.

Mkuu ukiangalia watu wa mitaani na watu wa kanisani idadi ni tofauti sana. Mimba maana yake ni kuwa watu wanangonoana, na maana nyingine ni kuwa wapo wengine wanafanya hivyo hawapati ujauzito. Mitaani kuna wasilamu, wapagani na watu wenye dini mbalimbali, Kwa hiyo huwezi kulinganisha.

Ponti ni kuwa kanisa sasa hivi linakuwa kama ni social club au social gathering, ambayo watu wanatumia kufanya mambo yao ya kishetani au wanatumia kuficha uchafu wao. wengi ni wale waliokosa social recognation kutokana na tabia zao na kanisa linakuwa kama kimbilio la maficho.

The role of church has greatly changed, from a club which was aimed at promoting values of Christianity, to a hiding place of evil doers and some kind of money making enterprise to others. Sasa hivi cha muhimu ni kuwa tuwe tunamkumbuka Mungu na kumtioi kwa matendo yetu as indivduals, kanisa limepoteza sana mwelekeo, ni kama inakuwa sehemu ya kupotea na sio sehemu ya kondoo walipotea kujinusuru.
 
Nimeamka na kukumbuka ndoto ya usiku ambapo mie na wife na mtoto wetu tulikuwa tuko mahali tunaangalia kwaya inayoimba vizuri sana na kusababisha mpaka watu kusimama kuishangilia kwa sababu ya jinsi wanavyoimba vizuri na kutouch hisia za watu. Lakini mara tukaona katikakati yao wako ambao wako uchi na wengine wanafanya uchafu(uasherati na uzinzi), mpaka binti yangu akaniambia baba mbona hawa watu wanaimba lakini wanafanya uchafu huu? Tukaamua kujiondokea kwani tuliona hapatufai, tunachafua nafsi zetu bure.

Nashangaa kufungua thread ya kwanza JF naona inaongelea suala hili.

Naomba nichangie kwa kueleza kuwa uasherati au uzinzi ni wa kukimbia siyo suala la kusema tu kwamba ninaomba na kusali sana siwezi kuingia kwenye dhambi hii. Ndiyo nakubali kabisa kuwa ili ushinde vishawishi/majaribu ni lazima kuomba lakini nakushauri usiendekeze mahusiano ya karibu kati ya mvulana na msichana au mwanaume au mwanamke ambao siyo walio na ndoa. Kwa kuendekeza ukaribu wa namna yoyote kati ya jinsia mbili tofauti utakuingiza kwenye dhambi hii na utashitukia ulishafanya.

Nikukumbushe pia kuwa kwenye kwaya/kanisa/ulokole watu wanaingia na interest tofauti ambazo anayezijua ni Mungu, Shetani na wao wenyewe. Kwa hiyo isipe shida kuona anayesema ameokoka/anayeimba kwaya akapata mimba; kwangu ninasikitika kwa kuwa anakuwa amelitukana jina la YESU na WOKOVU kwa ujumla lakini ni Matunda ya kile alichopanda huko ndani ya kwaya au kwenye wokovu anaosema na Mungu anaamua kumuonyesha kwa watu kuwa siyo mwenzetu au hajali yale anayofundishwa. Nikukumbusheni kuwa atakayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka; bado tuko safarini na kwa hiyo ni muhimu kutunza tiketi yako ya safari na usichafue mavazi yako ya safari.

Mmmh! Hii meseji kali, Saluti mkuu. Noted for action.
 
Mwana wa Adamu hakuja ila kwa kondoo waliopotea. Mtu mwenye afya hana hitaji la tabibu ila yule aliye dhaifu.
kati yetu sisi tunaowapiga madongo hao waimba kwaya walokole na hatujawahi fanya dhambi ya aina yoyote na tuwe wa kwanza kuwarushie mawe..... tunachotakiwa kufanya ni kuwaombea tu na si vinginevyo.
 
Tatizo ni kwamba wao wanajiita walokole(yaani walioteuliwa na mungu au waliookoka). Wao tayari wameonkolewa na mwana wa adamu kwa hiyo wao hawamhitaji tena, ila sisi tusiookoka ndio tunamhitaji mwana wa adamu. Sisi wengine ambao kila tukitembea dhambi, tukiongea dhambi hata miili yetu inaonekana ina dhambi, ndio ambao mwana wa adamu anatufaa. Kama madongo wanajirushia wao.
 
Mwana wa Adamu hakuja ila kwa kondoo waliopotea. Mtu mwenye afya hana hitaji la tabibu ila yule aliye dhaifu.
kati yetu sisi tunaowapiga madongo hao waimba kwaya walokole na hatujawahi fanya dhambi ya aina yoyote na tuwe wa kwanza kuwarushie mawe..... tunachotakiwa kufanya ni kuwaombea tu na si vinginevyo.

tatizo lao wana majigambo sana ndo maana tunawashangaa
 
ndugu, dadako anaimba kwaya na amepata mimba, au una maana gani kuleta thread hii hapa? mimba za makanisani ni chache sana kuliko za mitaani, makanisani watu mnaona kama ni kitu cha ajabu, na kweli ni cha ajabu, lakini ya mitaani inaonekana kama ni kitu cha kawaida ndio maana hata kuipublicise haihitajiki...upo hapo kulichafua jina la kanisa au? kwasababu kwenye makanisa ujue huwa kuna watu waliokomaa kiroho na wasiokomaa kiroho, wale wanaomjua Mungu kikwelikweli hawawezi kufanya hivyo, ila wale ambao wameokoka karibuni au wanaigiza, ndo huwa wanaleta sifa mbaya kama hiyo...may God help you.

Amen:smile:
 
I think either you or him are parsing words but the essence is still the same.
legacy ni muhimu sana kuifahamu mkuu.
kama unatoa maneno hewani na unataka tuamini is not the way supposed to be ras.
Sikatai kuwa bongo wapo wanaohubiri propsperity but there are few who stand for the truth of the GOSPEL. Acha unanga dogo.
 
Back
Top Bottom