Mimba kuanza kupandikizwa Tanzania

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
MIMBA KUANZA KUPANDIKIZWA TANZANIA

Hospitali yetu ya Muhimbili kuanza KUPANDIKIZA MIMBA mwishoni mwa mwaka huu wa 2023, wenye matatizo ya kuzaa wakae chonjo. Maradhi tuliyoona kwa karne hayatibiki Tanzania hadi twende India Rais Dkt Samia kwa mahaba yake tele kwa raia wake ameleta tiba nchini. Huu Upendo humithiliki, 2025 APITE BILA KUPINGWA.

IMG_20230812_090018_943.jpg
 
Hii taarifa yako imepoteza maana halisi kwa sababu tu ya kuingiza porojo zako za kisiasa.

Halafu inakuwaje mwanaume unafurahishwa na mambo ya kike! Nilifikiri wanawake ndiyo wanaotakiwa kufurahia zaidi hilo jambo.
 
View attachment 2715062

Naona umefurahi kupata fursa hiyo!!
 
Ila we jamaa wanaokutilia shaka hawakosei
 
Hii taarifa yako imepoteza maana halisi kwa sababu tu ya kuingiza porojo zako za kisiasa.

Halafu inakuwaje mwanaume unafurahishwa na mambo ya kike! Nilifikiri wanawake ndiyo wanaotakiwa kufurahia zaidi hilo jambo.
Nakazia
 
MIMBA KUANZA KUPANDIKIZWA TANZANIA

Hospitali yetu ya Muhimbili kuanza KUPANDIKIZA MIMBA mwishoni mwa mwaka huu wa 2023, wenye matatizo ya kuzaa wakae chonjo. Maradhi tuliyoona kwa karne hayatibiki Tanzania hadi twende India Rais Dkt Samia kwa mahaba yake tele kwa raia wake ameleta tiba nchini. Huu Upendo humithiliki, 2025 APITE BILA KUPINGWA.

View attachment 2715062
Naona umefurahi baada ya kusogezewa huduma karibu haya ushindwe mwenyewe!
 
Back
Top Bottom