Mimba imenasa?

Kama hutaki kupata mimba, kwanini usipime kwanza kabla ya kusex! Vipimo vipo pharmacy bei che, unapima kama ni danger days, mnatumia condom. Ovulation test

Acheni kutuangusha Vipimo hata vya gono vipo. Huu si wakati wa kulia lia.
Aisee..
It's news to me!
Ndo kwanza nasikia kama kuna hivi vipimo pharmacy
 
Habari zenu?

Nimevurugwa

Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au aimo?
Siku ya 13 hongera kwa juhudi ya kuongeza idadi ya watanzania. Jiandae kulea dume hilo
 
Nyie ndiyo mnatuangusha! Kama hutaki kupata mimba, kwanini usipime kwanza kabla ya kusex! Vipimo vipo pharmacy bei che, unapima kama ni danger days, mnatumia condom. Ovulation test

Acheni kutuangusha Vipimo hata vya gono vipo. Huu si wakati wa kulia lia.
aloo halafu kuna pimbi hawataki kuheshimu akili ya mzungu. umenifungua sikua najua
nitanunua vingi hivyo nikitaka zagamua namupima kabisa mrembo. sitaki kuleta watoto kwenye nchi ya kiwendawazimu ya tanzania
 
Aisee..
It's news to me!
Ndo kwanza nasikia kama kuna hivi vipimo pharmacy
Pole ndugu! Siku hizi kuna Vipimo vyote vya uasherati utavipata na kabla hujamdonoa na kunyanduana utapima hata malaria, hepatitis zote, HIV zote, syphilis, typhoid gono, ovulation etc kabla hujailoweka unajua unaloweka wapi. Naye anategemea kupokea nini. Ukikuta mambo si mambo, unavaa condom bila shuruti kwa raha zake
 
Habari zenu?

Nimevurugwa

Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo?
Ulianza kuziona damu zako za mwezi hiyo tareh 26 au 26 hiyo ndipo ulimaliza ili tukuambie na jinsia kabisa?
 
Pole ndugu! Siku hizi kuna Vipimo vyote vya uasherati utavipata na kabla hujamdonoa na kunyanduana utapima hata malaria, hepatitis zote, HIV zote, syphilis, typhoid gono, ovulation etc kabla hujailoweka unajua unaloweka wapi. Naye anategemea kupokea nini. Ukikuta mambo si mambo, unavaa condom bila shuruti kwa raha zake
Haha..
Hii elimu ni kama imefichwa. Wadau hawajui. Mara nyingi naona humu mabaharia wanalialia, ooh mpini unauma, unavuja usaha, mara kuna malengelenge kwa kichwa cha chini, nk, kumbe kuna namna ya kuzuia!!

Ikikupendeza weka uzi kabisa bro, utoe elimu hii kwa undani wadau wasaidike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom