Mimba imefanya ashindwe kunipa unyumba, nifanyeje?

Kama anachepuka ujue ww ndo unamsababisha, ama alikuoa bahat mbay ama mazingira anayofanya kaz vinginevyo co wote wanaochepuka
Sio kweli..japokua majority ni wachepukaji, there are still some gud men out there! tuwatendee haki, wanastahili sifa
Haya ni maoni yenu nayaheshimu,ila nami nitabaki na kile ninachokiamini.
Asanteni
 
Wandugu nawasalimu

Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo

Sasa mm Hali yangu kimwili ni mbaya muno ina maana ni hadi ajifungue akae tena miezi miwili ndipo tuanze kukutana, ukijumlisha na hiyo miezi miwili niliyokwisha kukaa Bila tendo, hivi nikiasi na kuanguka dhambini nitahesabiwa nimekosea

Maana Kuna huyu jirani yetu anapafanya kazi kwenye massage parlor sasa juzi nilimlalamikia kuwa bega linauma akadai nikodi chumba hoteli ili anichue bega litapona na ameonekana kutaka kunisaidia lile tatizo lingine pia
Ndipo nikaona nije niwahoji kuwa kama mwenzio hana uwezo wa kushiriki tendo
Inakuaje? Mungu aliweka utaratibu gani wa kumsaidia huyu mwingine

Daima sitovumilia ujinga wa vijana na Watz kwa ujumla, wewe kwanza huyo ni mchumba unampaje mimba au kwanini mnafanya ngono, ungelimsubiria mkaoana kwanza maana mpaka hapo mmemuudhi Allah wenu.

Pili nimesoma ujumbe wako inaonekana una phsychological problem kwa hakika kwani unawaza utumbo tu na wako wa namna yako wana support pasipo kujua mtakuja kutoa hesabu mwishoni.

Tatu bado yalisemwa na hayati JK Nyerere kuwa yanatula Watz hadi sasa Ujinga,Umaskini,Rushwa, Maradhi n.k....hayajapatiwa ufumbuzi wewe unawaza papuchi tu, alafu huenda ni wale wa booster tu.Kama ungelikuwa hunatatizo ungelikuwa na subira kwa yote hayo lakini unaonekana ni mcharuko tena sana, ninamuonea hruma kasichana cha watu kaingia chaka.

Ninyi ndiyo mnawafanya viongozi wetu watuburuze kwa kutojitambua nafasi na mchango wenu kwa jamii na Taifa kwa ujumla.

BADILIKA KWANI KUNA MAISHA BAADA YA UNACHOKIWAZA YAANI PAPUCHI TU.
 
Wandugu nawasalimu

Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo

Sasa mm Hali yangu kimwili ni mbaya muno ina maana ni hadi ajifungue akae tena miezi miwili ndipo tuanze kukutana, ukijumlisha na hiyo miezi miwili niliyokwisha kukaa Bila tendo, hivi nikiasi na kuanguka dhambini nitahesabiwa nimekosea

Maana Kuna huyu jirani yetu anapafanya kazi kwenye massage parlor sasa juzi nilimlalamikia kuwa bega linauma akadai nikodi chumba hoteli ili anichue bega litapona na ameonekana kutaka kunisaidia lile tatizo lingine pia
Ndipo nikaona nije niwahoji kuwa kama mwenzio hana uwezo wa kushiriki tendo
Inakuaje? Mungu aliweka utaratibu gani wa kumsaidia huyu mwingine
Nunua Geisha mkuu
 
Unasubiri nn sasa kwa mfano.....piga huyo mama massage
 
HUNA LOLOTE GENYE MSHINDO ZINAKUSUMBUA... HUOWIII???? UNAZINI NA MCHUMBA MPAKA UMEMTUNDIKA MZIGO NNJE YA UTARATIBU
 
Kula tu huyo jirani yako upunguze ugumu maana hakuna jinsi wewe sio paroko mpaka uweze kuizuia hiyo migenye yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom