Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
jinsi utavyofurahi ukisafiri mchumbako achepuke na jirani ndivyo nayeye atafurahi sahivi, maana endapo utakuwa mbali zaidi ya miezi 2 itabidi afanye hivyo kama kuvumilia ni shida.
sijui kama ndoa utaiweza wewe! hujui humi ndani kuna magonjwa matatizo n.k sasa wewe usipomvumilia nakumfariji mwenzio afarijiwe na nani?? mimba kama hiyo ikitoka bahati mbaya mchumbako atafurahi kuepuka hicho kikombe( Mungu aepushe)