Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,372
Asante mumys
ijawahi onaga mwanaume asiyechepuka kuanzia utotoni hadi uzeeni khaaaaaaaaaa

Ruksa....I beg to differ!
Ni vizuri kujiaminisha kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka na ni kweli kwa kiasi kikubwa.Hahahaaaaa!! Unaniogopesha mimi ambae thijaanza hayo mambo[emoji85]
Teh teh teeeeh!! Wangu hachepuki.Ni vizuri kujiaminisha kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka na ni kweli kwa kiasi kikubwa.
Kuliko kujipa moyo kuwa mwenza wako hachepuki,ni kujitafutia ugonjwa wa moyo siku ukigundua ana mchepuko.
Note:
Sina maana kuwa mpenzi wangu nae anachepuka,ni tahadhari tu.
Lucky you dearest!Teh teh teeeeh!! Wangu hachepuki.
Si umesema tujipe moyo? Mie nimeamua kujipa moyo kipositive[emoji85] [emoji85]Lucky you dearest!
"...Ndo nyie mnaojenga nyumba bila ramani"Wandugu nawasalimu
Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo
Sasa mm Hali yangu kimwili ni mbaya muno ina maana ni hadi ajifungue akae tena miezi miwili ndipo tuanze kukutana, ukijumlisha na hiyo miezi miwili niliyokwisha kukaa Bila tendo, hivi nikiasi na kuanguka dhambini nitahesabiwa nimekosea
Maana Kuna huyu jirani yetu anapafanya kazi kwenye massage parlor sasa juzi nilimlalamikia kuwa bega linauma akadai nikodi chumba hoteli ili anichue bega litapona na ameonekana kutaka kunisaidia lile tatizo lingine pia
Ndipo nikaona nije niwahoji kuwa kama mwenzio hana uwezo wa kushiriki tendo
Inakuaje? Mungu aliweka utaratibu gani wa kumsaidia huyu mwingine
bora wanao beba mimba za wanaumemmmh nawasikitikia wadada wanaobeba mimba za wavulana.
poleWandugu nawasalimu
Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo
Sasa mm Hali yangu kimwili ni mbaya muno ina maana ni hadi ajifungue akae tena miezi miwili ndipo tuanze kukutana, ukijumlisha na hiyo miezi miwili niliyokwisha kukaa Bila tendo, hivi nikiasi na kuanguka dhambini nitahesabiwa nimekosea
Maana Kuna huyu jirani yetu anapafanya kazi kwenye massage parlor sasa juzi nilimlalamikia kuwa bega linauma akadai nikodi chumba hoteli ili anichue bega litapona na ameonekana kutaka kunisaidia lile tatizo lingine pia
Ndipo nikaona nije niwahoji kuwa kama mwenzio hana uwezo wa kushiriki tendo
Inakuaje? Mungu aliweka utaratibu gani wa kumsaidia huyu mwingine
nimekupenda gaflaSio kweli..japokua majority ni wachepukaji, there are still some gud men out there! tuwatendee haki, wanastahili sifa
Wandugu nawasalimu
Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo
Sasa mm Hali yangu kimwili ni mbaya muno ina maana ni hadi ajifungue akae tena miezi miwili ndipo tuanze kukutana, ukijumlisha na hiyo miezi miwili niliyokwisha kukaa Bila tendo, hivi nikiasi na kuanguka dhambini nitahesabiwa nimekosea
Maana Kuna huyu jirani yetu anapafanya kazi kwenye massage parlor sasa juzi nilimlalamikia kuwa bega linauma akadai nikodi chumba hoteli ili anichue bega litapona na ameonekana kutaka kunisaidia lile tatizo lingine pia
Ndipo nikaona nije niwahoji kuwa kama mwenzio hana uwezo wa kushiriki tendo
Inakuaje? Mungu aliweka utaratibu gani wa kumsaidia huyu mwingine
Mimi sichepuki Nifah, labda kimawazo tu! Naishia kutamani kwa macho tu! Kuchepuka kunahitaji roho Ngumu Na kujikataa nafsi.. Sasa ya Nini yote hayo??Nani kakudanganya?
Hakuna mwanaume asiyechepuka.
Unawaza uzinzi tu mchumbA mwenyewe hujamuoaWandugu nawasalimu