Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,706
- 3,021
Dunia ina mambo....Kila siku kunaibuka kituko kipya
Leo inaonekana maskini ndiyo wana kula sana na hovyo.
Leo inaonekana maskini wana pesa za kununua vyakula na kula milo mitatu kwa siku.
Leo ukila milo mitatu wewe ni maskini.
Kula unapohitaji chakula, kula vizuri/ kwa mpangilio.
Tumia kidogo...
.Mafuta
.Chumvi
.Sukari
Unaweza kujilinda kwa kula kwa mpangilio, ila kile unachokula kikawa hakina ubora japokuwa unaona kina ubora.
Amini nakwambia....Tunakula sumu nyingi hasa kwenye mboga mboga.
Wakulima wengi wa mboga mboga hawajali afya za walaji.
Mambo ni mengi TUISHI TU.
Mungu hawezi kutulinda kwa ujinga wetu.