Meetings zao ni kwenye restaurants na hotels na huko wakifika lazma waagize kahawa na dessertsJamaa ni muongo sana.
Wenzetu wenye nazo;
1.Asubuhi kifungua kinywa wengine wanaita starter
2. Saa 4 chai/,kahawa
3. Saa 6 hadi 7 lanchi
4. Saa 4 kahawa/juisi nk
5. Usiku ndio...nini vile?
Wenye nazo hawaishi kutafuna kutwa.
Acha Janabi awatie moyo sijui ni siasa?
Kwa hiyo min huwa hupati hamu ya kula kitu flani. Mfano umemiss mahindi au mtindi wa Asas 😁Mimi sina ratiba ya kula kama mbwa , pale ninapohisi njaa huwa ndio nakula , yani mwili ukihitaji nakula ,kama sina njaa sina sababu ya kula.
No kwangu mlo naufanyia meditation ili kuleta balance,kimwili , hamu au tamaa nivitu nmeshavuka kuvipambania nisiwe navyo mkuu .Kwa hiyo min huwa hupati hamu ya kula kitu flani. Mfano umemiss mahindi au mtindi wa Asas 😁
Inabidi unipe madini zaidi kuhusu hicho kitu maana sikuwahi kufikiria kama chakula kinaweza kuhusishwa na meditationNo kwangu mlo naufanyia meditation ili kuleta balance,kimwili , hamu au tamaa nivitu nmeshavuka kuvipambania nisiwe navyo mkuu .
Kina uhusiano mkubwa , ili ufanikiwe lazima mwili uwe kwenye balance yake, na ili kupata balance vipo vyakula vya kuzingatia , wewe angalia tu jamii zinazopendelea kula nyama sna jinsi walivyo aggressive na kukosa utulivu !Inabidi unipe madini zaidi kuhusu hicho kitu maana sikuwahi kufikiria kama chakula kinaweza kuhusishwa na meditation
Muhimu sanaMambo ya mlo
Shukrani mkuu ila mengine hapo yanahitaji commitment sio ya mchezo. Hongera kwa kuwezaKina uhusiano mkubwa , ili ufanikiwe lazima mwili uwe kwenye balance yake, na ili kupata balance vipo vyakula vya kuzingatia , wewe angalia tu jamii zinazopendelea kula nyama sna jinsi walivyo aggressive na kukosa utulivu !
Pia ni vizuri kula kwa kiasi na mapema hasa dina , kabla ya giza kubwa , pia ni vizuri kula kwa uzingativu , sio unakula huku unawaza madeni ya vikoba , pia ni vizuri kula angalau mara moja vyakula vinavyo mea chini ya udogo hasa viazi ,magimbi na nk .
Jinsi ulivyo unajengwa na asili ya vyakula unavyokula na ulipo tokea .
MwaJ gani huyo tumdiscus mkuu?Sawa tajiri....😜
Tusipangiane maisha kwasababu humsaidii mtu kutafuta pesa yake ..vp umpangie matumizi?
Mwambie huyo...Si tunakula kwa hela zetu, shida iko wapi
Janabi sijui ana agenda ganiMbona wenzetu wazungu wanakula milo minne na asilimia kubwa wana afya nzuri zaidi kutuliko sisi?!
Wengi sasa kuishi miaka 90 hadi 100 ni kitu cha kawaida.
Acheni kuwafariji watu.
Serikali iache kukwepa majukumu ya kupunguza ukali wa maisha ili raia wapate kula milo mitatu au zaidi.
Nadhan mtoa hoja kaeleza vuzuri sana namna anavyoona inafaa mtu kujiwekea ratiba za milo.Mbona wenzetu wazungu wanakula milo minne na asilimia kubwa wana afya nzuri zaidi kutuliko sisi?!
Wengi sasa kuishi miaka 90 hadi 100 ni kitu cha kawaida.
Acheni kuwafariji watu.
Serikali iache kukwepa majukumu ya kupunguza ukali wa maisha ili raia wapate kula milo mitatu au zaidi.