mie namwambia best man aweke sahihi yangu kwenye cheti. chezeya 500m weweUkiona mtu anapata dili la fweza yote hiyo ujue sio maskini...kwake dili zipo kila leo, hivyo shughuli ya ndoa itaendelea kama kawaida...
NB:
Ila haka kasredi leo katatujulisha kina nani ni Wachagga humu au wana damu za Kichagga :becky:
Hivi vitabu vingne vya kufikirika aaagh!