Hassan Abasi msemaji mkuu wa serikali tujulishe watumishi wengine waliokwisha hakikiwa watalipwa lini ama ndio mmemaliza. Tunajua kuna watumishi wa mashirika na makampuni yaliyopo chini ya serikali yaliyokwisha fanyiwa uhakiki lakini hakuna majina yaliyotolewa. Hii maana yake nini hebu tujulishe kinacho endelea.