Millardayo.com Mbona imeporomoka sana kutoka Rank Ya Alexa Kutoka Top Kwa Tanzania hadi 7000

Mimi nimejitoa kwa kua kila habari yeye analazimisha utumie bandle... Utakuta anaandika "Alichozungumza Zitto Kabwe leo" ...ukifungua utakuta amesema Yeye ni shabiki wa Simba.
Lkn wenzie wanaandika front Page na wala hauhitaji kufungua.

Lingine ndo hilo lá kulazimisha ufungue vídeo... Kuna wakati alikua anachelewa kuweka magazeti ili ufungue yale yanayosomwa studio.... Nilipogundua ujinga huo nikahamia Muungwana Blog.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila kitu huwa kinadondoka sana sana vitu ambavyo njozi yaongozwa na mtu
 
Kuanza ni rahisi kuliko kubakia. Siri ya kubakia ni kwenda na teknolojia. Kama huwezi kuajiri full time team ya Research and Development basi at least tumia Consultants kwa mikataba mifupi. Hapo ndipo nadhani atakuwa kateleza. Information is a rapid changing field and rules of the game keep changing though principles remains the same...!
 
Kila kitu kuna muda ukifika kinakuwa na kudondoka kwake. Hajawekeza sana kwenye kuandika habari, yeye anaweza sana video na watu bando za kubania
Had I "root" unabania bando?
 
Itakua ni temporary nadhani, wasomaji hawawezi kuanguka kwa ghafla hivyo
millard.GIF
 
Back
Top Bottom